Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
Wakato nasoma ile likizo narudi dar kutoka mbeya..
Nikapanda magari ya wafanyabiashara wanaoemda kufunga mizingo yanaondoka mbeya saa10 jioni na kufika dar asubuhi saa11..kabla hatujaingia morogoro kuna tulikuta jamaa wamemwaga ulezi na maganda ya ndizi gari ili sleep sana watu konda akasema ficheni mali zetu tunatekwa..
Mbele kidogo wametandaza sijui ni mbao zile zinamisumali dereva alijaribu kutaka kurudi nyuma ikapigwa shaba kwenye tairi na taa moja ya mbele,gari ikasimama dakika o zinatoka njemba porini zimeshiba wamevaa mask wameshika bunduki,wakatoa amri kila mtu atoke kwenye gari akiwa na boxer kwa wanaume na wamama watoke na chupi na sidiria tu huku majambazi wengine wamelizunguka gari wengine wameshaingia kwenye gari..hapo dereva ameshakula kichapo cha mbwa mwizi kwanini alitaka kurudisha gari nyuma.
Unavyotoka nguo unaacha kwenye gari unasachiwa kwenye boxer na wamama wanasachiwa kwenye matiti na kwenye chupi ukishasachiwa tu unapigwa mkanda wa mgongoni ulale chini,
Kuna mshua mwingine alitaka kuwavimbia alikua na bastora wakamuwahi aisee alipigwa sana hadi kuvunjwa mkono wake jamaa wana roho mbaya sana
Baada ya lile zoezi kuna majambazi wengine wakawa wanapakia vile vitu kwenye gari lao wengine wanapekua kwenye siti za gari wanazichana chana na visu kama mtua!eficha pesa au simu kwenye siti ya gari..tumelala pale tunakuja kumashwa na madereva wengine wapita njia majambazi wameshaondoka. Tukaenda police kutoa taarifa wachache walipata msaada wa makoti na vikoi wengine tulishuka pale kidongo chekundu tukiwa na boxer na wamama wengine wakiwa na chupi wafanyabiashara wa pale kidongo chekundu walitununulia nguo na kutupa nauli.
Kwa hesabu za haraka hili tukio walilifanya halikuzidi dakika15
😂😂😂😂😂😂😂😂Tandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo utakimbia hadi usikie kufaNakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.
Siku hiyo ilikua week end tukatoroka shule kwenda mitaani kuinjoy, kula vitu adimu na kutafuta mademu.
Basi bhana tulikua wanne tumeenda mitaani tumefanya kila kitu mpaka mida ya saa tatu hivi usiku( ilikua ni kijisehemu kimechangamka sana, CENTER)
Wakati tunajiandaa kuanza safari ya kurudi shule mara ghafra wazee wa kazi wakavamia pale kwenye maduka, basi bwana purukushani za hapa na pale kila mtu akatoka nduki.
Wengi tulikimbilia makaburini coz hayakua mbali halafu ndo sehemu iliyokua walau mtu unaweza kujificha.
Basi bwana tumejificha kwenye makaburi wazee wa kazi wakaendelea kukiwasha duka baada ya duka, kati ya hayo maduka kulikua na frem ya salon na kuna wateja walikua wananyolewa(baada ya kuvamia jamaa walizima taa wakawa kimyaaa) basi majambazi si yakafungua mlango wa salon,hahahahaaaa!
Alitoka mshkaji mmoja amenyolewa upande na shuka jeupe shingoni nduki ya ajabu sana kama mshale, jamaa nae akakimbilia uelekeo wa makaburini, ile kufika akatukurupua( maana alikua nduki mbaya halafu anakimbia juu ya misalaba huku shuka linapepea kwa nyuma) kuona vile group lote tuliojificha tukadhani jamaa alikua kafufuka basi tulitoka nduki kumkimbia, na yeye kuona tunakimbia akadhani nyuma kuna jambazi linamkimbiza akaongeza spidi kutufuata, jamani jamani ilikua mshike mshike wa hatari, tulikimbia kama wendawazimu,.
Huku nyuma majambazi yameshaondoka sie tunakimbizana na jamaa. Tulijikwaruza sana kwenye vichaka pamoja na kuanguka kwenye makaburi, tuliumia sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahahahahahahahahahahaaaa nimecheka mpaka mbavu zimeniuma.Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.

Aisee nimecheka kinoma 😂😂😂😂Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.

Hii kaliNakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.

Exactly angeuawa kirahisi Sana afu angeonekana bonge la mpumbavuMkuu haswa huwezi kupigana na adui ambaye hujamuona yupo wapi,Ashukuru wale jamaa walikuwa wameshamaliza yao hata kutoka ndani ya gari isingekuwa salama.
Sitosahau ule mwaka tumepiga tukio NBC ubungo......pesa ya kuiba Bank tamu sana.Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
No way, can't believe you!!Kwa adhabu za hatari :
-walianza kwa kuto.mba moto usiku kucha. Yaani tuliwasha moto mkali wa kuni kubwakubwa. Wakavua nguo na kuanza kupitisha dushe zao kwenye moto polepole kama wanachoma panya.
-baada ya kuhakikisha wameijiivisha wenyewe na kuungua vooozee lote tuliwapa maji ya kunywa ya vuguvugu watulize uchungu
-tulichonga majiti kama mambo za kupimia kiwanja na kuwadidimiza mmojammoja utosini ikiwa ni mkono wa buriani. It was so sweet to see those skunks begging and thriving for our mercy!
Endelea kusoma zaidi na zaidi
Ha ha ha kwamba kwenye attendance umejirudiaTandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
Mkuu umeua aisee, nimecheka vibaya sana hapa!Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.