bazl
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 446
- 599
Itakua wote walichagua kifo ndio maana hawapo......ina maana humu hakuna aliewai kukutana na wale wazee wa kazi, "huku kifo huku kuolewa?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua wote walichagua kifo ndio maana hawapo......ina maana humu hakuna aliewai kukutana na wale wazee wa kazi, "huku kifo huku kuolewa?"
Ha ha haaa enzi hizo kuna bus moja inaitwa BEDUI nyingine mbogo trans .....umenikumbusha mbali na kuna kaeneo "mzambalaoni" kama sijakosea kulikuwa ajali haziishiChief ilikuwa ni balaa coz lake bus ndio waliokuwa wanatamba njia ile km unakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni barabara ya khm, shy ilikuwa haina lami ....mabus mengi walikuwa hawaitaki njia hyo , makonda wa lake bus walinibeba mzobezobe kunitoa kwenye siti wakidai eti siti yangu imeuzwa wakati nimelipa nauli kamili kutokea masumbwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Nini hukumpora bastola na mtu umempiga ngumi katepeta?HII YANGU ITAKUWA KALI NA HATARI ZAIDI......
Ilikuwa ni moshi mwaka 2009 mwezi wa sita mahindi yamekuwa marefu, miti mirefu, migomba mingi kiasi kwamba hata taa za umeme hazimwiliki vizuri na kuna wingu zito sana na GIZA NENE. Mida ya saa mbili usiku nimetoka town nimeshuka kwenye daladala, nikaingia njia ya kuelekea home. Njia hiyo mpaka kufika home ni parefu kidogo, halafu ina giza kuu. Katikati ya njia kuna geti la kuingia nyumba ya jirani, nilipofika pale nikakuta pikipiki mbili na washkaji waliponiona wakashtuka mmoja akaninyooshea bastola akaniambia lala chini. Sasa maana ilikuwa ghafla na tumekaribiana sana na nilikuwa najiamini sana nikamrukia nikashika ile bastola kuielekeza juu zikatoka risasi kama nne kwa haraka sana....... kumbe ndani kuna majambazi mengine manne yanaforce jamaa ayape hela na yameshatoa kipigo cha maana......
Yule jamaa baada ya risasi kuisha kwenye bunduki nikampiga ngumi akadondoka chini, mwenzake akawa anakuja na sime, ile anainyanyua anikate nikawahi kumdaka mkono nikampiga ngumi ya mbavu akaachia sime, nikampiga ngumi ya pili halafu nikawahi ile sime.
NIKAWAAMBIA MKINIFUATA NAWACHINJA, sasa mimi nilidhani walikuwa wananiwinda mimi kumbe jamaa walikuwa wanawasubiri wenzao. Mara nikaona majamaa wanne wameruka ukuta kwa speed ya hatari na wale wawili wakawasha pikipiki haraka sana wanaulizana imekuwaje jamaa akawaambia kuna mwanajeshi hapa tuondoke...... Wakati huo mimi nimeingia kwenye mahindi wakamulika na tochi huku na huku hawakuniona. Wakawasha pikipiki wakaondoka kwa kasi ya ajabu.
NIKABAKI PALE NA ILE SIME HUKU BADO SIELEWI NINI KINAENDELEA NDIYO SASA NDANI YA ILE NYUMBA WAKAANZA KUPIGA YOWE NA MAJIRANI WALIOSIKIA WAKAJA......
nakumbuka kilikuwa ni kitendo kama cha dakika mbili tu.
YULE MZEE ALINIPA LAKI MBILI AKANIAMBIA KAMA SIYO MIMI WANGEMUUA NA WANGEMUIBIA HELA NYINGI SANA.....
Hiyo siku sitaisahau aisee.
Kwa adhabu za hatari :
-walianza kwa kuto.mba moto usiku kucha. Yaani tuliwasha moto mkali wa kuni kubwakubwa. Wakavua nguo na kuanza kupitisha dushe zao kwenye moto polepole kama wanachoma panya.
-baada ya kuhakikisha wameijiivisha wenyewe na kuungua vooozee lote tuliwapa maji ya kunywa ya vuguvugu watulize uchungu
-tulichonga majiti kama mambo za kupimia kiwanja na kuwadidimiza mmojammoja utosini ikiwa ni mkono wa buriani. It was so sweet to see those skunks begging and thriving for our mercy!
So waliwaua baada ya kusema pesa wanapeleka wapi??Nilihisi kuna mtu wa benki alinichoma, maana hakuna mtu aliyekua anajua naenda kuchukua hela pale.. Kuna jamaa zangu ni mabaka mabaka na mapolisi nikawaelezea nilivyoporwa... Wakaniambia tuandae mtego..
Baada ya wiki tatu nikarudi benki ileile kuchukua pesa.. Kweli bhana wale washenzi wakajilengesha, bila kujua 40 ndio zimefika.. Watatu walikufa palepale baada ya kupigwa risasi, wawili walikuja kufa baadae baada ya kutaja hela zinapokwenda... Hela walizochukua zilirudi na fidia juu...
Cc: Duke tuchaz, rikiboy...
Man, when the head's got rotten, you can do anything! That's temporary madness. And you feel all good, by the time!are you a normal human being or a vampire?? you talking about killing a person like roasting a chicken! you belong to a different planet dude!
Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Huyo jamaa aliye beba kabati bado yuko hai kweli?Usiku una mengi, kuna wanadamu wao wamejitolea usiku kama ndio muda wao wa kutafuta chochote kitu,,, binafsi nimewai kukutana na matukio machache ya kukutana na wezi usiku.
Tukio la kwanza, nakumbuka tulikua form six miaka ya nyuma tunatoka kwenye kumbi za starehe tukiwa watatu tunarudi tuliko kua tumepanga uswahilini, njiani tulikutana na wezi wametoka kuiba samani meza, vitanda, na viti walikua wengi kiasi, jamaa walitusimamisha mmoja wao akatupiga mkwara mzito sanaa, nakumbuka walitubebesha meza, rafiki angu mmoja mwenye mwili mkubwa yeye alibebeshwa kabati, tulitembea kama kilomita mbili hivi wakatuachia, yule mwenzetu aliebeba kabati aliumwa mgongo wiki nzima.
Tukio la pili, nikiwa nakatiza mitaa ya sinza, nikakutana na kundi la vibaka wako kama sita hivi, saa sita usiku, ilikua ni ile position unakata kona unakutana na watu hawa hapa, siku sita nikapita kati kati yao maana hakukua na namna nyingine ya kukimbia, nilipigwa kabali ya hatari, huyu kashika mguu huu, mwingine kashika mguu mwingine, walinichukulia simu, waleti na viatu, tukaachana kwa mengi matusi tunatukanana.
Tatu, hii ilinikuta maeneo mapya niliyokua nimehamia, mida ya saa tano usiku nimetoka kunywa mitungi mtaa wa pili, walikuja vijana wawili kwenye boda boda na mapanga yao, mmoja nilimvamia kwa speed ya hatari nilimrukia teke moja akaanguka analia ana kufa, siku laza damu nilikimbia speed ya kufa mtu.
unaweza kushare mawili matatu kama umewai kukumbwa na mswaibu haya, then watu wakajifunza chochote na kuchukua precautions siku za mbeleni.
Kabisa mkuuare you a normal human being or a vampire?? you talking about killing a person like roasting a chicken! you belong to a different planet dude!
BalaaaNilimulikwa tochi usoni ghafla na kuzimwa nikapewa ngumi,nilipozinduka sikuwa na simu,wallet wala viatu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana hapa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] , Mzee akawa Mzee jambazi!!Wale vibaka wangu walikuwa wajinga sana..........2001 hiyo nimetoka zangu kupiga liquid narudi home kama saa 7 hivi ucku, nilipokuwa naishi kuna umbali kidogo kutoka barabarani, dereva taxi kanishusha nikaanza kukata vichochoro kuelekea nyumbani, ghafla nikamulikwa usoni na tochi yenye mwanga mkali sana halafu ikatoka amri kali eti:- simama hapo hapo na ujisachi mwenyewe utoe kila ulichonacho mfukoni........yani sikujiuliza mara mbili mbili, niligeuka kwa kasi na kufyatua mbio kali sana ambazo sijawahi kukimbia.
Kuona ivo na wao wakaniunganishia kuanza kunikimbiza halafu mbaya zaidi wakaanza kuniitia mwizi, mi kusikia ivo nikapunguza mwendo hatimae nikaanza kutembea kwa mwendo wa haraka, kuona natembea na wao wakaanza kutembea na hawapigi tena kelele za mwizi, nilipoona wananikaribia nikachomoka tena mbio kali......zoezi likarudia lile lile la kupigiwa kelele za mwizi, bahati nzuri natokeza barabarani na gari ya police hii hapa, nikawaelezea tukarudi hadi walipoanza kunikimbiza lakini hakuna mtu, basi wakanisindikiza hadi nyumbani.
1993 Tabora hiyo jamaa yangu mmoja kaja mjini kupokea pesa yake ya mauzo ya tumbaku, akawa na mipango mingi balaa ikiwemo kununua baiskeli mpya, kununua radio kaseti ya Lasonic na kuongeza mke wa tatu..........hakuna hata mpango mmoja uliotimia, usiku wa hyo aliibiwa pesa yote sh 100,000/= na baamedi aliyelala nae gesti (nadhani ndo alikuwa anamfanyia intavyuu kama anafaa kuongezwa kuwa mke wake wa tatu, tangu siku hyo jamaa yangu huyo alishikwa na uchizi akatoweka nyumbani hadi tulipokuja kupata taarifa za kifo chake cha kugongwa na gari.
Juzi juzi tu hapa kuelekea kipindi cha sikukuu za krisimasi na mwaka mpya kundi la vibaka wapatao kama 17 hivi walivamia kwa jirani yangu aliyekuwa kauza kagari kake kamechakaa chakaa kwa sh milioni 6, wale wapuuzi wakataka kuja kuchukua zile pesa kama vile walimuwekeza........kwa mara ya kwanza ndo nilikatumia vizuri ka manati kangu ka kizungu, nilimkongoroa goti mmoja wao na wengine wakakimbia, yule tulimmalizia pale pale kwa kushirikiana na wananchi wenye hasira kali.
2007 kuna majambazi yalivamia mtaa flani wenye maduka mengi, sasa ile tabia ya mlinzi mmoja analinda karibu maduka 40, wakamkamata mzee wa watu wakaenda nae hadi kwenye mojawapo ya maduka anayolinda wakamkazimisha aanze kuvunja, zoezi lilipokamilika wakamlazimisha aanze kusomba vitu anapakia kwenye gari la majambazi.......ile wanamalizia mara paaaaap na mwenye duka akatokeza akamuona yule mzee mlinzi wa duka lake yupo kwenye harakati kupakia vitu kwenye gari ya wale wezi, jamaa akafyatua risasi hewani, wale wezi wakawahi kwenye gari yao ili wakimbie, na yule mzee mlinzi na akaona hapo sio pa kukaa tena, akadandia kwenye gari ya wale wezi akaondoka nao...........!!!!!!!!!!!!!!!!
komando kinjekitile ngwale
Vituko uswahiliniWale vibaka wangu walikuwa wajinga sana..........2001 hiyo nimetoka zangu kupiga liquid narudi home kama saa 7 hivi ucku, nilipokuwa naishi kuna umbali kidogo kutoka barabarani, dereva taxi kanishusha nikaanza kukata vichochoro kuelekea nyumbani, ghafla nikamulikwa usoni na tochi yenye mwanga mkali sana halafu ikatoka amri kali eti:- simama hapo hapo na ujisachi mwenyewe utoe kila ulichonacho mfukoni........yani sikujiuliza mara mbili mbili, niligeuka kwa kasi na kufyatua mbio kali sana ambazo sijawahi kukimbia.
Kuona ivo na wao wakaniunganishia kuanza kunikimbiza halafu mbaya zaidi wakaanza kuniitia mwizi, mi kusikia ivo nikapunguza mwendo hatimae nikaanza kutembea kwa mwendo wa haraka, kuona natembea na wao wakaanza kutembea na hawapigi tena kelele za mwizi, nilipoona wananikaribia nikachomoka tena mbio kali......zoezi likarudia lile lile la kupigiwa kelele za mwizi, bahati nzuri natokeza barabarani na gari ya police hii hapa, nikawaelezea tukarudi hadi walipoanza kunikimbiza lakini hakuna mtu, basi wakanisindikiza hadi nyumbani.
1993 Tabora hiyo jamaa yangu mmoja kaja mjini kupokea pesa yake ya mauzo ya tumbaku, akawa na mipango mingi balaa ikiwemo kununua baiskeli mpya, kununua radio kaseti ya Lasonic na kuongeza mke wa tatu..........hakuna hata mpango mmoja uliotimia, usiku wa hyo aliibiwa pesa yote sh 100,000/= na baamedi aliyelala nae gesti (nadhani ndo alikuwa anamfanyia intavyuu kama anafaa kuongezwa kuwa mke wake wa tatu, tangu siku hyo jamaa yangu huyo alishikwa na uchizi akatoweka nyumbani hadi tulipokuja kupata taarifa za kifo chake cha kugongwa na gari.
Juzi juzi tu hapa kuelekea kipindi cha sikukuu za krisimasi na mwaka mpya kundi la vibaka wapatao kama 17 hivi walivamia kwa jirani yangu aliyekuwa kauza kagari kake kamechakaa chakaa kwa sh milioni 6, wale wapuuzi wakataka kuja kuchukua zile pesa kama vile walimuwekeza........kwa mara ya kwanza ndo nilikatumia vizuri ka manati kangu ka kizungu, nilimkongoroa goti mmoja wao na wengine wakakimbia, yule tulimmalizia pale pale kwa kushirikiana na wananchi wenye hasira kali.
2007 kuna majambazi yalivamia mtaa flani wenye maduka mengi, sasa ile tabia ya mlinzi mmoja analinda karibu maduka 40, wakamkamata mzee wa watu wakaenda nae hadi kwenye mojawapo ya maduka anayolinda wakamkazimisha aanze kuvunja, zoezi lilipokamilika wakamlazimisha aanze kusomba vitu anapakia kwenye gari la majambazi.......ile wanamalizia mara paaaaap na mwenye duka akatokeza akamuona yule mzee mlinzi wa duka lake yupo kwenye harakati kupakia vitu kwenye gari ya wale wezi, jamaa akafyatua risasi hewani, wale wezi wakawahi kwenye gari yao ili wakimbie, na yule mzee mlinzi na akaona hapo sio pa kukaa tena, akadandia kwenye gari ya wale wezi akaondoka nao...........!!!!!!!!!!!!!!!!
komando kinjekitile ngwale
Alivyozinduka ikawaje?Mimi wakatimwingine nipo form 4 nilikua nakaba na kuchukua hell kunasiku nilimkaba babaake na rafikiyangu ananijua vizuri sababu nilitokea nyuma hakuniona nikaona Bora nimalize kabisa yani niuwe nilikaba mpaka akalegea nikajua tayari nimeua kumbe kazimia
Hujamalizia story mkuu 😀😀😀Maisha haya hatari sana..NAKUMBUKA MIAKA YA NYUMA BAADA YA KUMALIZA CHUO sina kazi yoyote nikawaza ntafanya kazi gani..Akili ikanijia nitafute kazi yoyote sasa ntafanyaje kazi yoyote na ninaona aibu mkoa huu huu nisome tangu primary,secondary,chuo LEO nianze kufanya kazi za ajabu?? HAPANA..
Basi nikaenda mwanza huko simjui Ndugu wala mtu yeyote yule nikasema kazi yyte huku nafanya hata ya kuzibua choo tena hivi sijulikani ndo poa kbsa,nakumbuka siku ya kwanza nilifika usiku palipokucha tuu Nikaanza kazi ya kutafuta kazi BAHATI YANGU mbaya mtu wa kwanza niliyemuuliza kuhusu KAZI ntapata wapi (Alikua kibaka/mwizi) akanambia unatafuta kazi gani nikamwambia yeyote ile mi nafanya.
Akaniuliza hata kuosha vyombo au u house boy? nikamwambia Braza namaanisha nikisema yeyote hata ya Kubembeleza mtoto mi sawa tu,Akanambia kuna mama wa kihindi yupo anatafuta house boy twende nikupeleke,basi nikaanza kumshukuru kabla hata hatujafika tukiwa njiani jamaa akawa ananipa maushauri hayooo, ma pointi kama yotee Na aliponifanya nimwamini zaidi ni alinambia natakiwa kua MWAMINIFU ktk kazi za watu maana nikiharibu LAWAMA atapewa yeye.
Nikamuahidi ntakua mwaminifu basi tukaendelea kwenda CHocho to chocho..road to road mara tuvuke mito mara madimbwi baadae tulitokelezea mtaaa uchochoro flani hvi hata ukipiga Mayoweee haskiii mtu Nilishangaaa wametokea wenzake kama watatu jamaa akkajiunga na wenzake wakantolea mapanga bwana walinichojoa kila kituuuuu..Niliachwa na BOXAA tuuu.
Sitokaa niisahau hyo siku na maishani mwangu mwote tangu siku hiyo SIAMINI MTU tenaaa
Haaaahaaaa[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....aki nimecheka kama mwehuuMaisha haya hatari sana..NAKUMBUKA MIAKA YA NYUMA BAADA YA KUMALIZA CHUO sina kazi yoyote nikawaza ntafanya kazi gani..Akili ikanijia nitafute kazi yoyote sasa ntafanyaje kazi yoyote na ninaona aibu mkoa huu huu nisome tangu primary,secondary,chuo LEO nianze kufanya kazi za ajabu?? HAPANA..
Basi nikaenda mwanza huko simjui Ndugu wala mtu yeyote yule nikasema kazi yyte huku nafanya hata ya kuzibua choo tena hivi sijulikani ndo poa kbsa,nakumbuka siku ya kwanza nilifika usiku palipokucha tuu Nikaanza kazi ya kutafuta kazi BAHATI YANGU mbaya mtu wa kwanza niliyemuuliza kuhusu KAZI ntapata wapi (Alikua kibaka/mwizi) akanambia unatafuta kazi gani nikamwambia yeyote ile mi nafanya.
Akaniuliza hata kuosha vyombo au u house boy? nikamwambia Braza namaanisha nikisema yeyote hata ya Kubembeleza mtoto mi sawa tu,Akanambia kuna mama wa kihindi yupo anatafuta house boy twende nikupeleke,basi nikaanza kumshukuru kabla hata hatujafika tukiwa njiani jamaa akawa ananipa maushauri hayooo, ma pointi kama yotee Na aliponifanya nimwamini zaidi ni alinambia natakiwa kua MWAMINIFU ktk kazi za watu maana nikiharibu LAWAMA atapewa yeye.
Nikamuahidi ntakua mwaminifu basi tukaendelea kwenda CHocho to chocho..road to road mara tuvuke mito mara madimbwi baadae tulitokelezea mtaaa uchochoro flani hvi hata ukipiga Mayoweee haskiii mtu Nilishangaaa wametokea wenzake kama watatu jamaa akkajiunga na wenzake wakantolea mapanga bwana walinichojoa kila kituuuuu..Niliachwa na BOXAA tuuu.
Sitokaa niisahau hyo siku na maishani mwangu mwote tangu siku hiyo SIAMINI MTU tenaaa
Mkuu wewe ulikua mmoja wa wale majamaa nini,mbona unataka nimalizie?Hujamalizia story mkuu 😀😀😀