Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Ha ha haaa enzi hizo kuna bus moja inaitwa BEDUI nyingine mbogo trans .....umenikumbusha mbali na kuna kaeneo "mzambalaoni" kama sijakosea kulikuwa ajali haziishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Nini hukumpora bastola na mtu umempiga ngumi katepeta?
 
are you a normal human being or a vampire?? you talking about killing a person like roasting a chicken! you belong to a different planet dude!

 
So waliwaua baada ya kusema pesa wanapeleka wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
are you a normal human being or a vampire?? you talking about killing a person like roasting a chicken! you belong to a different planet dude!
Man, when the head's got rotten, you can do anything! That's temporary madness. And you feel all good, by the time!
 

Hiyo ya mwisho umetulisha tango pori mkuu....
 
Huyo jamaa aliye beba kabati bado yuko hai kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] , Mzee akawa Mzee jambazi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vituko uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alivyozinduka ikawaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujamalizia story mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haaaahaaaa[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....aki nimecheka kama mwehuu

[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…