Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda


Ooh nishaelewa πŸ˜‚ ila wana vituko wanafanya Mishe zao then wanajikausha na kupanda Daladala, si haba hawakumjeruhi mtu humo kwenye basi.
 
Pole sana mkuu,comments nyingi sana humu ni za kufurahisha ila hii yako imenihuzunisha mno

Hayo maneno hata jini angekuachia...nna imani umetimiza wosia wa mzee kwa kuirudisha familia
 
Jamaa alikuwa mbavu,a.k.a baunsa???? alikuwa uchi kabisa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nilikua Feri nimekaa beach nakula kipupwe,jamaa wa2 wenye visu wakampora jamaa.Ila waliniona na hawakujaribu kusogea mana nimevimba mbavu kama Chekinoris.Huwa wanaangalia pa kuingia

Sent using Jamii Forums mobile app
Babu upo gym gani uwe trainer wangu,sema nataka nichanganye na protein shakes kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigamboni kuna wezi sana sijui kipindi hiki,nakumbuka nikiwa nakaa hostel kigambon siku hiyo nimewahi kutoka chuo kama saa.sita hivi mchana nimeshuka kwenye panton pale natembea mdogo.mdogo upande wa kulia wa barabara kuna dada mbele.yangu tushafika mbele kabisa huku walikuja vibaka kwa nyuma yangu speed wakampora yule sister pochi wakavuka barabara wakaingia kwenye lile pori la jeshi kule beach tulipataga story wakienda huko usithubutu kuwafuata.
Siku nyingine mchana hivyo hivyo kuna mzungu alijichanganya akaenda kule kupiga picha alitoka.kule damu.mwili.mzima walimkata na visu mkononi usoni wakachukua camera yake. Karibia kila leo kulikua na tukio
 
are you a normal human being or a vampire?? you talking about killing a person like roasting a chicken! you belong to a different planet dude!
Sema wewe......naogopa ata kusoma comment zake.he z not a normal human being trust me!
 
Aliyeko hai kwenye tukio la ubungo ni mmoja tu kwa sasa! Na kweli nasikia anasali Sana na ndio nguzo kuu ya kutoa Sadaka kanisani kwao huko mbali kijijini alipozaliwa.

Huyo alievunjwa mguu na baadae kutobolewa jicho mojo nkuhungu nae ameshafariki. Ulikuwa ni mtandao mmoja. Kuanzia zile pesa za mwanga, ubungo na Nairobi ndio wameingia Sana. Katika hicho kikosi kazi ndio kabaki mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unamchokonoa uyu jamaa Kuna kitu unataka akiseme[emoji1] [emoji1]
 

Dah, sio salama kabisa. Maskin hadi mgeni wamemjeruhi na kumpora camera yke yenye picha zake za ukumbusho, 😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…