Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,858
Lakini mlikula kweli usiku huo, au mlilala pole pole?Wazee wa kazi walivamia kwa jirani yetu alikua ametoka kuuza gunia zake za mpunga,Kahama hiyo. Picha linaanza mida ya saa mbili mbili za usiku.Home nipo mimi ,bibi na mbwa .Mimi nimekaa nje ,bibi anaunga unga mboga maharage kwenye jiko la mkaa.Bwana wee ikavurumushwa risasi huko ,kwa lile wenge bibi akapiga katafunua chungu cha maharage na moto akamwagia maji kisha kwa speeed ya umeme ndani akafunga mlango akazima taa zote.Mimi nimebaki nje peke yangu kwa mbinu na medani za kivita nikavua shati nisionekane kisha nikajisunda kwenye jalala kimya.Baada ya sereka kuisha tafuta sana mbwa kuja kumkuta kumbe na yeye kaingia ndani zamani sana yuko chini ya uvungu wa kitanda.
Sent using Jamii Forums mobile app