usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 329
Wezi wa kigamboni wakati fulani nilisikia walikuwa wanalawiti bana vija wa kiume hasa wa ifm jamaa walipochoka wanaume wakaamua kuandama kupinga hali hiyo hadi pale wizara ya elimuKigamboni kwa vibaka ndio kwenyewe!.....madenti wa IFM si wanachukuaga huko vyumba vya Bei rahisi, full kubakwa hukoo[emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimecheka sanaaaNakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.
Siku hiyo ilikua week end tukatoroka shule kwenda mitaani kuinjoy, kula vitu adimu na kutafuta mademu.
Basi bhana tulikua wanne tumeenda mitaani tumefanya kila kitu mpaka mida ya saa tatu hivi usiku( ilikua ni kijisehemu kimechangamka sana, CENTER)
Wakati tunajiandaa kuanza safari ya kurudi shule mara ghafra wazee wa kazi wakavamia pale kwenye maduka, basi bwana purukushani za hapa na pale kila mtu akatoka nduki.
Wengi tulikimbilia makaburini coz hayakua mbali halafu ndo sehemu iliyokua walau mtu unaweza kujificha.
Basi bwana tumejificha kwenye makaburi wazee wa kazi wakaendelea kukiwasha duka baada ya duka, kati ya hayo maduka kulikua na frem ya salon na kuna wateja walikua wananyolewa(baada ya kuvamia jamaa walizima taa wakawa kimyaaa) basi majambazi si yakafungua mlango wa salon,hahahahaaaa!
Alitoka mshkaji mmoja amenyolewa upande na shuka jeupe shingoni nduki ya ajabu sana kama mshale, jamaa nae akakimbilia uelekeo wa makaburini, ile kufika akatukurupua( maana alikua nduki mbaya halafu anakimbia juu ya misalaba huku shuka linapepea kwa nyuma) kuona vile group lote tuliojificha tukadhani jamaa alikua kafufuka basi tulitoka nduki kumkimbia, na yeye kuona tunakimbia akadhani nyuma kuna jambazi linamkimbiza akaongeza spidi kutufuata, jamani jamani ilikua mshike mshike wa hatari, tulikimbia kama wendawazimu,.
Huku nyuma majambazi yameshaondoka sie tunakimbizana na jamaa. Tulijikwaruza sana kwenye vichaka pamoja na kuanguka kwenye makaburi, tuliumia sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Du!! Yatakuwa masharti ya mganga wakeJ
Jamaa alikuwa baunsa alafu mweusi mnooo then alikuwa uchi kabisa dushe inanin'giniaa livee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120]
Safi sana, hio ndo heshima ya Wakurya mura weito.Walipata zawadi stahiki.
We noma mzee baba.Isamilo hiyo mji mwema
Hahaaahahaha alikuwa mbwa koko huyoWazee wa kazi walivamia kwa jirani yetu alikua ametoka kuuza gunia zake za mpunga,Kahama hiyo. Picha linaanza mida ya saa mbili mbili za usiku.Home nipo mimi ,bibi na mbwa .Mimi nimekaa nje ,bibi anaunga unga mboga maharage kwenye jiko la mkaa.Bwana wee ikavurumushwa risasi huko ,kwa lile wenge bibi akapiga katafunua chungu cha maharage na moto akamwagia maji kisha kwa speeed ya umeme ndani akafunga mlango akazima taa zote.Mimi nimebaki nje peke yangu kwa mbinu na medani za kivita nikavua shati nisionekane kisha nikajisunda kwenye jalala kimya.Baada ya sereka kuisha tafuta sana mbwa kuja kumkuta kumbe na yeye kaingia ndani zamani sana yuko chini ya uvungu wa kitanda.
Yaaan hapa sijaelewa...ulipanda juu ya pikipiki kama Vandamme kwenye ile movie ya Hard target alivyorukia treni?[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu,nitakueskoti[emoji23][emoji23] hio movie siijui lakini ni kweli nilismama juu ya pkpk nikarukia ile gari ya pickup, yaani nimejikuta tu nimepata ujasiro wa nasmama na kuruka,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimulikwa tochi usoni ghafla na kuzimwa nikapewa ngumi,nilipozinduka sikuwa na simu,wallet wala viatu....
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Mji wa maweMheshimiwa ni zuga tu, alikuwa ni RPC mkoa wa mkoa Z. Aliuawa njiani akitokea kwenye starehe kurudi home na hakuwa na escort yoyote siku hiyo.
dooooh pole sanaa bro. kwa kumbukumbu hizo.Nakumbuka ilikuwa mwaka 1990 uko katika mtaa wa Mandevu compound Lusaka nchini Zambia,tulikokuwa tukiishi baba na mama wote wakiwa wafanya biashara.
mwaka 1990 uko zambia kulikuwa na vuguvugu la mabadiliko kisiasa,wananchi walikuwa wamechoka na maisha magumu baada ya uchumi kuyumba na bidhaa kupanda bei.Zambia chini UNIP na Kaunda wananchi walikuwa wanategemea sana msaada wa serikali kuendesha maisha yao.sasa bei ya shaba ilipoporomoka serikali ilishindwa kumudu kugharamia sehem ya mahitaji ya wananchi.wananchi wakaingia mtaan machafuko yakawa makubwa kiasi cha serikali kushindwa kudhibiti.
ikatangazwa amri ya hatari mwisho saa kumi na mbili jioni kutembea mtaani.Askali kutoka Tanzania wakashika doria mitaa mingi ya Lusaka.
siku moja muda wa saa moja usiku tukiwa ndani zikasikika risasi nje ya nyumba yetu,baba akaenda kufunga vizuri zaidi mlango wa nje,wale majambazi wakagonga kioo cha dirisha kwa kitako cha bunduki wakaingiza bunduki dirisha na kuamrisha mlango ufunguliwe na taa zizimwe.wakatoa amri kama baba akalale.
walikuwa wamevalia mavazi ya kijeshi na ya jeshi la Zambia.walionekana wanamfahamu vizuri mama shughuri zake.na walikuwa wamempania mama kwani wakati huo baba hali yake kibiashara haikuwa nzuri ilikuwa miezi michache tu imepita tangu avamiwe na kupolwa kila kitu na majambazi,kwa hiyo hawakushughulika nae.
wakikuwa kama 7 walioingia ndani wakadai wengine chakula wengine mmojanakatoa amri wafanye kilichowaleta.wakataka pesa mama akawapa alizotoka nazo dukan wakamwambia sio hizo hazitoshi wakaingia chumbani ambako baba alikuwa amelala baada kuamrishwa hivyo wakachukua fedha zote zilizo kuwepo.
Asubuhi yake mama akaenda kituo kikuu cha polisi kureport baada ya maelezo ikabidi liitishwe gwalide la utambuzi bahati mbaya mama hakuwatambua wale wahalifu.ikawa mwanzo wa maisha kuyumba.
wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 9 tu.mwaka ulifuata nikaja Tanzania.SIWEZI KUSAHAU KAMWE.
daaaaah washenzi wale walimuuwa kamanda Liber.... Bar.Mheshimiwa ni zuga tu, alikuwa ni RPC mkoa wa mkoa Z. Aliuawa njiani akitokea kwenye starehe kurudi home na hakuwa na escort yoyote siku hiyo.
Ukikumbuka. Naomba ni tag mkuu.Mkuu, yaani hadi nimesahau nilimpa nani hayo materials. Siku nyingi sana. Jiografia ilinibeba sana ndiyo maana nikapata ubatizo wa hilo jina.