Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Hongera mkuu. Mansion yako ipo pande zip hapa mjini ?
Hongera mkuu. Mansion yako ipo pande zip hapa mjini ?
HahahahhhhhhTandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
hahahahahahahahahaahaAisee duniani watu wanapitia mengi sana poleni binafsi sijawai kukutwa na wezi except niliwahi pigwa sijui ngumi or kofi la uso baranarani lililonisababisha nikae chini huku naona nyota maskio naskia miluzi akili iliporudi nilikua nimeibiwa simu sitasahau maumivu ya uso maana mkono wa kibaka ulijichora surani siku mbili
Kama ulilipwa ngoja tu nicheke[emoji16][emoji16][emoji16]...ila pole mkuuilikuwa mwaka juzi nimetoka kumpeleka dogo shule baobab girls pale then nikapitiliza mbweni JKT ndege beach kuswim na kula vyombo na wadau tukakaa sana pale tunakuja kuondoka ni mida ya saa sita usiku wenzangu wote wanakaa mbweni
mimi nikaanza safari ya kurudi home nikapiga mwendo mpaka mapinga baobab pale then nikaingia kushoto ile njia ya vumbi nitokee kibaha TAMCO pale
nikiwa nakaribia sehemu inaitwa kidimu alafu nipo flat foot balaa nalala na kona tu kuna kona moja kali kweli ile naimaliza tu nakutana na bodaboda imepakiwa katikati ya road nikapiga break kali sana....
nikajua kabisa hapa KIMESHANUKA nikacheki jinsi ya kugeuza gari ilikuwa ngumu maana baada ya zile breki za ghafla gari ilislip ikaingia pemben mwa barabara alafu changarawe nikaweka reverse nikakanyaga mafuta gari inateleza tu kilikuwa ni kitoyota CELICA front wheel unaweza kuona ilivyo ngumu kutoka ukiwa umenasa
ghafla kwenye kichaka naona watu kama sita wanatokea kwa mbali na mapanga nikasema msinichezee nikazima gari nikatoka nje then nikaanza kutimua mbio sio za nchi hii kuelekea kule nilipotoka huku nabonyeza alarm ya gari upande wa lock...
nilikuwa natumia OCTUPUS alarm ukifunga alarm funguo haiwashi gari hata kwa dawa...
chakushangaza wale jamaa hata hawakunimbiza nikajipa moyo nikasema majamaa mafala kweli haya yanafikiri yataiba gari na nimeshalock na alarm....
baada ya kuona hawanifati nikatembea hadi ule msikiti wa kule kidimu nikagonga nyumba ya moja ilikuwa pale msikitin akatoka mzee mmoja nikamuelezea shida yangu akasema yeye Msaada anaoweza kunipa ni kuniitia vijana wa pale kijjini twende eneo la tukio
nikapewa vijana kama tisa hivi na wababa wawili tukaanza safari wakiwa na silaha za jadi mashoka mapanga na marungu...
ile kufika eneo la tukio hatukukuta mtu ila gari ipo ila sasa gari ilikuwa haitamaniki imevunjwa vioo vyote imepondwa pondwa yani inshort ilikuwa kama imepata ajali vile.....
kumbe majamaa baada yakuona nimeyakimbia na yamekosa kitu cha maana cha kubeba kwenye gari zaidi ya crossover woofer ya gari wakaamua kunikomoa kwa kuiharibu gari
thanks afande nanii aliniandikia report nzuri ya ajali na mambo yote yakawa covered na bima
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa...Cha ajabu hao madenti wanaolala kiga tuko nao class huwezi kusikia hata fununu!...mpaka kilivyonuka kwenye vyombo vya habari[emoji848][emoji849]Wezi wa kigamboni wakati fulani nilisikia walikuwa wanalawiti bana vija wa kiume hasa wa ifm jamaa walipochoka wanaume wakaamua kuandama kupinga hali hiyo hadi pale wizara ya elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole Sana....badae ikawaje sasa ulivyorudi bongo?Nakumbuka ilikuwa mwaka 1990 uko katika mtaa wa Mandevu compound Lusaka nchini Zambia,tulikokuwa tukiishi baba na mama wote wakiwa wafanya biashara.
mwaka 1990 uko zambia kulikuwa na vuguvugu la mabadiliko kisiasa,wananchi walikuwa wamechoka na maisha magumu baada ya uchumi kuyumba na bidhaa kupanda bei.Zambia chini UNIP na Kaunda wananchi walikuwa wanategemea sana msaada wa serikali kuendesha maisha yao.sasa bei ya shaba ilipoporomoka serikali ilishindwa kumudu kugharamia sehem ya mahitaji ya wananchi.wananchi wakaingia mtaan machafuko yakawa makubwa kiasi cha serikali kushindwa kudhibiti.
ikatangazwa amri ya hatari mwisho saa kumi na mbili jioni kutembea mtaani.Askali kutoka Tanzania wakashika doria mitaa mingi ya Lusaka.
siku moja muda wa saa moja usiku tukiwa ndani zikasikika risasi nje ya nyumba yetu,baba akaenda kufunga vizuri zaidi mlango wa nje,wale majambazi wakagonga kioo cha dirisha kwa kitako cha bunduki wakaingiza bunduki dirisha na kuamrisha mlango ufunguliwe na taa zizimwe.wakatoa amri kama baba akalale.
walikuwa wamevalia mavazi ya kijeshi na ya jeshi la Zambia.walionekana wanamfahamu vizuri mama shughuri zake.na walikuwa wamempania mama kwani wakati huo baba hali yake kibiashara haikuwa nzuri ilikuwa miezi michache tu imepita tangu avamiwe na kupolwa kila kitu na majambazi,kwa hiyo hawakushughulika nae.
wakikuwa kama 7 walioingia ndani wakadai wengine chakula wengine mmojanakatoa amri wafanye kilichowaleta.wakataka pesa mama akawapa alizotoka nazo dukan wakamwambia sio hizo hazitoshi wakaingia chumbani ambako baba alikuwa amelala baada kuamrishwa hivyo wakachukua fedha zote zilizo kuwepo.
Asubuhi yake mama akaenda kituo kikuu cha polisi kureport baada ya maelezo ikabidi liitishwe gwalide la utambuzi bahati mbaya mama hakuwatambua wale wahalifu.ikawa mwanzo wa maisha kuyumba.
wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 9 tu.mwaka ulifuata nikaja Tanzania.SIWEZI KUSAHAU KAMWE.
Haaahaaa pole sana![emoji23][emoji23] hio movie siijui lakini ni kweli nilismama juu ya pkpk nikarukia ile gari ya pickup, yaani nimejikuta tu nimepata ujasiro wa nasmama na kuruka,
Unataka upate location uje ufanye uvamizi?....lala uko[emoji16]Hongera mkuu. Mansion yako ipo pande zip hapa mjini ?
Hahahaaaaaaa
Hii code inatumika sana kanda ya ziwa huko.
nilikua ubungo nakata tiketi ya kwenda iringa nakumbuka hadi Leo ile milio ya risasi mara ya kwanza nilijua shoti ya umeme kweli bunduki inatishaUbungo mataa lile gari la crdb, nlikuwa nyuma yake kwenye shuttle tunaelekea mabibo hostel, nlitsman kukimbia ila konda akatuzuia
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah.... asante mkuu nimeona sehemu umeandika kuwa unasafirigi sana usiku kuwa makin mkuu usiku una mengi sanaKama ulilipwa ngoja tu nicheke[emoji16][emoji16][emoji16]...ila pole mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ulitaka kusikia wanapiga story za kutembezewaa mjurubeng na vibaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli kabisa...Cha ajabu hao madenti wanaolala kiga tuko nao class huwezi kusikia hata fununu!...mpaka kilivyonuka kwenye vyombo vya habari[emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu. Nataka kuja kukupa story ya kisa kilichonitokea miaka 10 iliyopita.
Kumbe na wewe ulikuwa mkazi wa vyuo vya magogoni.Ni kweli kabisa...Cha ajabu hao madenti wanaolala kiga tuko nao class huwezi kusikia hata fununu!...mpaka kilivyonuka kwenye vyombo vya habari[emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahah!!!kaka umenikumnusha mbal sana.Kipindi hili linatukia nilikua mwaka wa mwisho pale ifm but i was staying at Tandika ndio magetoni.Nazama chuo siku hiyo nakutana na zogo la watu kutinduliwa halaf wanasema tuandame na mm maandamano sikuyazoea..Ilikua siku ngumu sana kwangu nakumbuka. AhahahahahajWezi wa kigamboni wakati fulani nilisikia walikuwa wanalawiti bana vija wa kiume hasa wa ifm jamaa walipochoka wanaume wakaamua kuandama kupinga hali hiyo hadi pale wizara ya elimu
Sent using Jamii Forums mobile app