Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Ilikuwa Land Cruiser Amazon (Like) Nyekundu Miaka hiyo ndiyo yupo kwenye harakati za kuhamia Buzuruga karibu na Kisima cha Kwa bibi Lena.
Yeah Miti Mirefu hapo!

Vipi ni kweli ana background ya upigaji au maneno ya walioshindwa tu kama kawaida ya wabongo!
 
Mwaka 2010, nyumbani tulikuwa wawili tu, mimi na mama watoto,tu na wakati huo tulikuwa hatujaanzisha familia bado.

Nilirudi nyumbani mapema Sana siku hiyo mida ya saa 12 jioni tu, baada ya kula mapema pia nikaenda kujipumzisha mapema pia, saa nane usiku nikasikia milio ya bunduki, nikahisi hapa tushavamiwa, Jana yake tu nilikuwa nimetoka kuchukua kagari Ka kutembelea( T blj), nikajua pengine ndo wanafata Hilo Gari, kwa hiyo si kuwa na idea kama wangeweza kunidhuru kwa kuiba Gari ambalo lipo nje na wangeweza kuwasha tu hata kwa funguo Malaya na kuondoka. Nyumba haikuwa na fensi

Kulikuwa na ukimya wa kama dakika moja, nikasikia tena milio mkubwa Sana maeneo mlango wa sebuleni na wa jikoni kwa pamoja! Sekunde kadhaa tu wakawa tayari wanavunja mlango wa chumba changu!

Muda wote huo wife anahangaika kujificha chini ya uvungu bila mafanikio, ni kibonge flan, so zoezi Zima la yeye kuingia huko halikuwezekana,mpaka jamaa wameingia nilikuwa Sina clue, yaan wakanza straight na mapanga mwilini,, toa pesa!toa pesa! Tunajua umezificha, chumbani walingia kama watu watano,wawili ni heavy kiasi kwamba nikahisi hapa nikijaribu kufurukuta napotea, watatu wa kawaida tu ningeweza kupambana nao kama wasingeambatana na Hao heavy duty, nikaona ni comply tu yaishe!

Mapanga yalitembea takriban dk 5 mfululizo, wife ndo alikua mtetezi wangu analia kwa kuwaambia kuwa Leo huyo baba hajaja na hela, an gekuwa nazo angewapa, kiukweli Nina kawaida ya kumkabidhi wife kila siku kile nilichokuja nacho nyumbani, na siku hiyo kweli si kuwa na pesa niliyokuja nayo nyumbani, kulikuwa na laki mbili tuu kabatini ambayo ilikuwa kama balance ya dharula wakaichukua

Momment ambayo Hua inaniumiza hadi Leo, ni kuna mmoja alikuwa amepania kuniua kabisa alipiga panga mbili Moja ikaingia haswa, ya pili nikasema ngoja nikinge, ikaondoka na kidole kimoja, baadaye akanitupia taulo huku akisema jifunike sasa nakata shingo hapo nadhan ufahamu wangu ndo ulifika mwisho,

Wife alikuwa anaona kila kitu anasema baada ya tukio la kunitupia taulo alipiga panga mbili ambazo alikosa zote, ikawa wenzake wanamuita kwa code ndo pona yangu, nililala hapo chini huku nikiwa Sina fahamu, hadi nilipokuwa kusikia sauti ya wife aliniambia mume wangu kama upo hai amka wamesha ondoka,!! Ni sauti ya huzuni kabisa kuwa hi kusikia Kutoka kwa mke wangu, anasema alijaribu mara kadhaa Kuniambia hivyo, Lakin si ku respond akajua nshapotea. nadhan mungu tu alikuwa upande wangu siku hiyo.

Hawakuchukua Gari ambalo nilidhani ndo liliwaleta, kilichofata nilikimbia nyumba na kwenda kupanga Tena mana niliona haikuwa bahati yangu kujenga, ila Nilirudi baada ya kupata Familia, na nipo hadi sasa ila nina makovu kichwani na kidole kimoja Sina, plus mimi. Na wife kila ikifika saa nane usiku automatically tunakua macho, hii nadhan ni physiological toucher ambayo tutakufa nayo

User name yangu inareflect namba za Gari ambazo nadhan lilichangia pia kuniletea majanga siku ya tukio tulivamiwa nyumba Tatu mitaani, sisi tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Kutoka na maisha nyumba moja walimuua baba na ya pili wakaumuua mlinzi, kwa maelezo ya wenzetu muuaji alikuwa yule yule aliyekuwa ananisulubu mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hawa watu sio binaadamu wa kawaida
Mtu kuchinja tu kuku unatetemeka na kusikia huruma sembuse kumpiga mtu panga? Tena unataka kumuua? Binaadamu ni kiumbe katili sana
 
Pole Sana mkuu, aisee haya mambo usiombe yakukute

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
User name yangu inareflect namba za Gari ambazo nadhan lilichangia pia kuniletea majanga siku ya tukio tulivamiwa nyumba Tatu mitaani, sisi tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Kutoka na maisha nyum moja walimuua baba na ya pili wakaumuua mlinzi, kwa maelezo ya wenzetu muuaji alikuwa yule yule aliyekuwa ananisulubu mie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana mkuu

Uhai Muhimu
 
Aisee pole sana. Na hapa namna pekee ya kulipa kisasi kwa hawa washenzi ni kuroga tu kama kweli uganga na uchawi upo
 
Yeah Miti Mirefu hapo!

Vipi ni kweli ana background ya upigaji au maneno ya walioshindwa tu kama kawaida ya wabongo!
Mwamba hakuwa na skendo hizo, ni vile tu watu wakiona umetusua ili hali hujatumia nguvu nyingi wanaanza kuzusha. ila mwamba alikuwa fighter katika maisha cause alisomesha watoto lake medium kipindi hicho. Marlon na Gamba yule mwingine simkumbuki.
 
Hiyo sauti uliisikia ya Polisi jirani yenu ukuchukua hatua yoyote baada ya kuponA
Da nakumbuka mwaka 1999 ....nikiwa na mama wadogo zangu wawili walisafiri kwenda kijijini mi niligoma nikabaki na mama

Mama alikuwa kaajiriwa duka moja la tajiri kuuza sement....!! Katika biashara siku moja aliuza sement kama za Milion 9 ...kutokama na MEM ilikuwa imepamba moto

Wakati akitoka dukani kuna watu walikuwa wanamfatilia kwa nyuma bila kujua alipofika zile hela akanipa mimi zikiwa kwenye jagi ...la maji likuwa tupu nikachukua kama natoka kwenda kununua kitu dukani nikazipeleka zile hela mpk kwa tajiri yake mama ...

Maana ilikuwa desturi kunituma mm mida ya saa moja na nusu nilifika akahesabu akaniandikia kitabu cha risiti cha kupeka hela nikarudi

Tukalal mm nikuwa nalala sebleni ...mama alikuwa nalala chumbani. ..mida ya saa saba usiku nikasikia mlango ukipigwa kwa nguvu !! ...aise na nilikuwa bado chali mdogo nikiwa darasa la V

Mlango ulipasuka mbao zikaachia watu kama nane waliingia ndani , ......wakapitiliza mpk chumbani kwa mama !!

Wakaanza kumuomba hela huku wanampiga kichwani ubavuni.......!! Mama alilamika sana akawa anawaambia mbn sina hela nimezipeleka kwa tajiri yangu

Mwingine kwa nje akawa anasema kama hela muueni ...sauti yake niliitambua alikuwa ni polisi ....kabisa tena jirani yetu !! Nyumba km ya tano ..

Nilishikwa na uchungu nikarusha taa ya chemri ilikuwa karibu na kitanda nilipigwa risasi mkono !! Nilianguka chini kutokana na damu nyingi kutoka nilizima kabisa

Yaani walichoambulia ni laki mbili tu !! Ila walimpiga sana mama na walijua wamemuacha wamemua pamoja na mm

Nilikuja kushituka mchana tokea saa sita mchana nipo hospital watu wamenijalia ndugu ...muda huo nilikuwa nimewekewa damu katika mshipa wa mguuni na kwenye mkono wa kushoto

Yaani nilivyoomuona mama alikuwa amevimba mpk nilimsahau .....alipona , japo kuna ukilema walimuachia

Na mm nilipona ila mkono ulibaki na kovu kubwa yaani huwa nikiangalia mkono napata uchungu kabisa na majambazi na vibaka

Yaani nikikamata naua kabisa kama kesi nitaikuta ....mahakamani!!
Yaani nawachukia sana na kamwe siitakuja kusahau tukio lile ...japo majuzi juzi nilivamiwa tena ila niliwazidi nguvu

View attachment 1328397

sent from toyota Allex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi sana hawa jamaa 15/08/2019 walifungua mlango nikiwa Guest bubu mkoani huko, wakaniibia Laptop, simu mbili na Pesa! Kisha wakanifungia nje! Ile Laptop ilikua na consultancy ya watu fulani ndio nilikua nimeshafanya karibia 75% na ilikua nitume ili nilipwe! Niliumia kuliko kitu chochote.

Nilikua siwazii simu, Laptop wala pesa, ila ile kazi ya watu tu na jana yake nilitaka niwatumie Desk Review na Tools ili nilipwe nikaamua nivute subira kidogo! Nikazima Laptop nikaendelea na mishe zingine...nyie Wasukuma nyie Mungu anawaona!

Si ungeripoti kisha wakafatilia hyo smu kwa imei no , hapo wangekatwa na ww kupata mali zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu

Uhai Muhimu
Uhai kweli ni muhimu, ila mstari ni mwembamba sana unaotenganisha na mauti. kuukosa huo uhai ni simple nimeshuhudia Hilo, nilibaki na ulemavu wa kidole na kovu kubwa kichwani, na kwa miezi kadhaa nilikuwa siwezi kuandika achilia mbali kutia saini benki, ni kidole pendwa kwa mwanaume (kwa wanao elewa) sasa kipo nusu.
1579528683380.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..
Mwaka 2010, nyumbani tulikuwa wawili tu, mimi na mama watoto,tu na wakati huo tulikuwa hatujaanzisha familia bado.

Nilirudi nyumbani mapema Sana siku hiyo mida ya saa 12 jioni tu, baada ya kula mapema pia nikaenda kujipumzisha mapema pia, saa nane usiku nikasikia milio ya bunduki, nikahisi hapa tushavamiwa, Jana yake tu nilikuwa nimetoka kuchukua kagari Ka kutembelea( T blj), nikajua pengine ndo wanafata Hilo Gari, kwa hiyo si kuwa na idea kama wangeweza kunidhuru kwa kuiba Gari ambalo lipo nje na wangeweza kuwasha tu hata kwa funguo Malaya na kuondoka. Nyumba haikuwa na fensi

Kulikuwa na ukimya wa kama dakika moja, nikasikia tena milio mkubwa Sana maeneo mlango wa sebuleni na wa jikoni kwa pamoja! Sekunde kadhaa tu wakawa tayari wanavunja mlango wa chumba changu!

Muda wote huo wife anahangaika kujificha chini ya uvungu bila mafanikio, ni kibonge flan, so zoezi Zima la yeye kuingia huko halikuwezekana,mpaka jamaa wameingia nilikuwa Sina clue, yaan wakanza straight na mapanga mwilini,, toa pesa!toa pesa! Tunajua umezificha, chumbani walingia kama watu watano,wawili ni heavy kiasi kwamba nikahisi hapa nikijaribu kufurukuta napotea, watatu wa kawaida tu ningeweza kupambana nao kama wasingeambatana na Hao heavy duty, nikaona ni comply tu yaishe!

Mapanga yalitembea takriban dk 5 mfululizo, wife ndo alikua mtetezi wangu analia kwa kuwaambia kuwa Leo huyo baba hajaja na hela, an gekuwa nazo angewapa, kiukweli Nina kawaida ya kumkabidhi wife kila siku kile nilichokuja nacho nyumbani, na siku hiyo kweli si kuwa na pesa niliyokuja nayo nyumbani, kulikuwa na laki mbili tuu kabatini ambayo ilikuwa kama balance ya dharula wakaichukua

Momment ambayo Hua inaniumiza hadi Leo, ni kuna mmoja alikuwa amepania kuniua kabisa alipiga panga mbili Moja ikaingia haswa, ya pili nikasema ngoja nikinge, ikaondoka na kidole kimoja, baadaye akanitupia taulo huku akisema jifunike sasa nakata shingo hapo nadhan ufahamu wangu ndo ulifika mwisho,

Wife alikuwa anaona kila kitu anasema baada ya tukio la kunitupia taulo alipiga panga mbili ambazo alikosa zote, ikawa wenzake wanamuita kwa code ndo pona yangu, nililala hapo chini huku nikiwa Sina fahamu, hadi nilipokuwa kusikia sauti ya wife aliniambia mume wangu kama upo hai amka wamesha ondoka,!! Ni sauti ya huzuni kabisa kuwa hi kusikia Kutoka kwa mke wangu, anasema alijaribu mara kadhaa Kuniambia hivyo, Lakin si ku respond akajua nshapotea. nadhan mungu tu alikuwa upande wangu siku hiyo.

Hawakuchukua Gari ambalo nilidhani ndo liliwaleta, kilichofata nilikimbia nyumba na kwenda kupanga Tena mana niliona haikuwa bahati yangu kujenga, ila Nilirudi baada ya kupata Familia, na nipo hadi sasa ila nina makovu kichwani na kidole kimoja Sina, plus mimi. Na wife kila ikifika saa nane usiku automatically tunakua macho, hii nadhan ni physiological toucher ambayo tutakufa nayo

User name yangu inareflect namba za Gari ambazo nadhan lilichangia pia kuniletea majanga siku ya tukio tulivamiwa nyumba Tatu mitaani, sisi tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Kutoka na maisha nyumba moja walimuua baba na ya pili wakaumuua mlinzi, kwa maelezo ya wenzetu muuaji alikuwa yule yule aliyekuwa ananisulubu mie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010, nyumbani tulikuwa wawili tu, mimi na mama watoto,tu na wakati huo tulikuwa hatujaanzisha familia bado.

Nilirudi nyumbani mapema Sana siku hiyo mida ya saa 12 jioni tu, baada ya kula mapema pia nikaenda kujipumzisha mapema pia, saa nane usiku nikasikia milio ya bunduki, nikahisi hapa tushavamiwa, Jana yake tu nilikuwa nimetoka kuchukua kagari Ka kutembelea( T blj), nikajua pengine ndo wanafata Hilo Gari, kwa hiyo si kuwa na idea kama wangeweza kunidhuru kwa kuiba Gari ambalo lipo nje na wangeweza kuwasha tu hata kwa funguo Malaya na kuondoka. Nyumba haikuwa na fensi

Kulikuwa na ukimya wa kama dakika moja, nikasikia tena milio mkubwa Sana maeneo mlango wa sebuleni na wa jikoni kwa pamoja! Sekunde kadhaa tu wakawa tayari wanavunja mlango wa chumba changu!

Muda wote huo wife anahangaika kujificha chini ya uvungu bila mafanikio, ni kibonge flan, so zoezi Zima la yeye kuingia huko halikuwezekana,mpaka jamaa wameingia nilikuwa Sina clue, yaan wakanza straight na mapanga mwilini,, toa pesa!toa pesa! Tunajua umezificha, chumbani walingia kama watu watano,wawili ni heavy kiasi kwamba nikahisi hapa nikijaribu kufurukuta napotea, watatu wa kawaida tu ningeweza kupambana nao kama wasingeambatana na Hao heavy duty, nikaona ni comply tu yaishe!

Mapanga yalitembea takriban dk 5 mfululizo, wife ndo alikua mtetezi wangu analia kwa kuwaambia kuwa Leo huyo baba hajaja na hela, an gekuwa nazo angewapa, kiukweli Nina kawaida ya kumkabidhi wife kila siku kile nilichokuja nacho nyumbani, na siku hiyo kweli si kuwa na pesa niliyokuja nayo nyumbani, kulikuwa na laki mbili tuu kabatini ambayo ilikuwa kama balance ya dharula wakaichukua

Momment ambayo Hua inaniumiza hadi Leo, ni kuna mmoja alikuwa amepania kuniua kabisa alipiga panga mbili Moja ikaingia haswa, ya pili nikasema ngoja nikinge, ikaondoka na kidole kimoja, baadaye akanitupia taulo huku akisema jifunike sasa nakata shingo hapo nadhan ufahamu wangu ndo ulifika mwisho,

Wife alikuwa anaona kila kitu anasema baada ya tukio la kunitupia taulo alipiga panga mbili ambazo alikosa zote, ikawa wenzake wanamuita kwa code ndo pona yangu, nililala hapo chini huku nikiwa Sina fahamu, hadi nilipokuwa kusikia sauti ya wife aliniambia mume wangu kama upo hai amka wamesha ondoka,!! Ni sauti ya huzuni kabisa kuwa hi kusikia Kutoka kwa mke wangu, anasema alijaribu mara kadhaa Kuniambia hivyo, Lakin si ku respond akajua nshapotea. nadhan mungu tu alikuwa upande wangu siku hiyo.

Hawakuchukua Gari ambalo nilidhani ndo liliwaleta, kilichofata nilikimbia nyumba na kwenda kupanga Tena mana niliona haikuwa bahati yangu kujenga, ila Nilirudi baada ya kupata Familia, na nipo hadi sasa ila nina makovu kichwani na kidole kimoja Sina, plus mimi. Na wife kila ikifika saa nane usiku automatically tunakua macho, hii nadhan ni physiological toucher ambayo tutakufa nayo

User name yangu inareflect namba za Gari ambazo nadhan lilichangia pia kuniletea majanga siku ya tukio tulivamiwa nyumba Tatu mitaani, sisi tulikuwa wa mwisho kuvamiwa na Kutoka na maisha nyumba moja walimuua baba na ya pili wakaumuua mlinzi, kwa maelezo ya wenzetu muuaji alikuwa yule yule aliyekuwa ananisulubu mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana
 
Duh jamaa Alitaka kumla shem kimasihara!?
Sio experience nzuri Kukutana nayo, pole Sana, ila ilitakiwa ujue walijuaje una hizo fedha, lazima kuna sehemu ulifanya nazo show off wakaziona thus why walikadilia kuwa ni more than 5 million.

...................Kama umewahi kutembea na hela zaidi ya mil 10 huku ukifanya manunuzi ya hiki na kile kwenye public stores situation kama hizi kukutana nazo ni rahisi sana.

Unaweza kuwa umeingia dukani ukaagiza tuseme mzigo wa 1.5m ktk kulipa hela zipo kwenye bag unadhani utaenda kuzitolea pembeni?sababu wabongo tuna ile kuaminiana sana utafungua beg lako utatoa hela,japo hufanyi hivi huku wateja wengine wakiona mara nyingi wanoona ni wale waliopo dukani coz watakuruhusu uingie kwa usalama wako utalipa ila pale pana macho mengi anaweza kuwa mmoja wa vibarua mle dukani ana connection na wezi akakuchoma,na wanajua kabisa kwa muda huu huyu na hela zile hataweza kumaliza manunuzi yake lazima atalala na hela so mtihani unabaki umeingia maduka matatu manne utamuhisi nani?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom