t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,191
- 17,171
Da nakumbuka mwaka 1999 ....nikiwa na mama wadogo zangu wawili walisafiri kwenda kijijini mi niligoma nikabaki na mama
Mama alikuwa kaajiriwa duka moja la tajiri kuuza sement....!! Katika biashara siku moja aliuza sement kama za Milion 9 ...kutokama na MEM ilikuwa imepamba moto
Wakati akitoka dukani kuna watu walikuwa wanamfatilia kwa nyuma bila kujua alipofika zile hela akanipa mimi zikiwa kwenye jagi ...la maji likuwa tupu nikachukua kama natoka kwenda kununua kitu dukani nikazipeleka zile hela mpk kwa tajiri yake mama ...
Maana ilikuwa desturi kunituma mm mida ya saa moja na nusu nilifika akahesabu akaniandikia kitabu cha risiti cha kupeka hela nikarudi
Tukalal mm nikuwa nalala sebleni ...mama alikuwa nalala chumbani. ..mida ya saa saba usiku nikasikia mlango ukipigwa kwa nguvu !! ...aise na nilikuwa bado chali mdogo nikiwa darasa la V
Mlango ulipasuka mbao zikaachia watu kama nane waliingia ndani , ......wakapitiliza mpk chumbani kwa mama !!
Wakaanza kumuomba hela huku wanampiga kichwani ubavuni.......!! Mama alilamika sana akawa anawaambia mbn sina hela nimezipeleka kwa tajiri yangu
Mwingine kwa nje akawa anasema kama hela muueni ...sauti yake niliitambua alikuwa ni polisi ....kabisa tena jirani yetu !! Nyumba km ya tano ..
Nilishikwa na uchungu nikarusha taa ya chemri ilikuwa karibu na kitanda nilipigwa risasi mkono !! Nilianguka chini kutokana na damu nyingi kutoka nilizima kabisa
Yaani walichoambulia ni laki mbili tu !! Ila walimpiga sana mama na walijua wamemuacha wamemua pamoja na mm
Nilikuja kushituka mchana tokea saa sita mchana nipo hospital watu wamenijalia ndugu ...muda huo nilikuwa nimewekewa damu katika mshipa wa mguuni na kwenye mkono wa kushoto
Yaani nilivyoomuona mama alikuwa amevimba mpk nilimsahau .....alipona , japo kuna ukilema walimuachia
Na mm nilipona ila mkono ulibaki na kovu kubwa yaani huwa nikiangalia mkono napata uchungu kabisa na majambazi na vibaka
Yaani nikikamata naua kabisa kama kesi nitaikuta ....mahakamani!!
Yaani nawachukia sana na kamwe siitakuja kusahau tukio lile ...japo majuzi juzi nilivamiwa tena ila niliwazidi nguvu
View attachment 1328397
sent from toyota Allex
Polee sana mkuu, japo hii picha ni ya Mguu na sio Mkono, vile vile ni ya Kudownload.
siri kubwa ya dua yoyote kubwa hasa ya kudhulumiwa au kufanyiwa ubaya basi wakati unaifanya ufanye na watoto hasa watoto yatima wale wadogo kabisa then mwisho uwape sadaka na kwa kusudi kabisa kabla ya kuanza kusoma nao hyo dua waambie kilichotokea mpka wasikitike haswa then piga nao dua hali ya kuwa wanakuonea huruma na huzuni
pole jamaaUhai kweli ni muhimu, ila mstari ni mwembamba sana unaotenganisha na mauti. kuukosa huo uhai ni simple nimeshuhudia Hilo, nilibaki na ulemavu wa kidole na kovu kubwa kichwani, na kwa miezi kadhaa nilikuwa siwezi kuandika achilia mbali kutia saini benki, ni kidole pendwa kwa mwanaume (kwa wanao elewa) sasa kipo nusu. View attachment 1328647
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuuUhai kweli ni muhimu, ila mstari ni mwembamba sana unaotenganisha na mauti. kuukosa huo uhai ni simple nimeshuhudia Hilo, nilibaki na ulemavu wa kidole na kovu kubwa kichwani, na kwa miezi kadhaa nilikuwa siwezi kuandika achilia mbali kutia saini benki, ni kidole pendwa kwa mwanaume (kwa wanao elewa) sasa kipo nusu. View attachment 1328647
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale sio watu wa kawaida amini nakwambia na Nina imani they are born, not made!. Kuna mdau humu kasema eti majambazi wa siku hizi ni masharo baro!!! Sidhan kama amaekutana nao Hao jamaa anawaona tu kwenye TV.Aisee hawa watu sio binaadamu wa kawaida
Mtu kuchinja tu kuku unatetemeka na kusikia huruma sembuse kumpiga mtu panga? Tena unataka kumuua? Binaadamu ni kiumbe katili sana
mwaka 2013 niko zangu chuo,nilikuwa nasoma night maana kuna kikazi nlikuwa nakifanya mchana,
Nmetoka zangu chuo saa 3 usiku niko hoi,ni mmoja ya wale vijana ambao si maskini sana lakini mpenzi sana wa kubadilisha mavazi na kujipenda nisiyependa kujichanganya.
Basi nmerudi zangu nmechoka hatari na siku hyo dada yangu mtoto wa baba yangu mkubwa alikuwa ndo ameetoka kupewa mkopo wake wa almost 30m sema alichukua kama 2m nyingne akaiacha kwenye a/c yake.Basi mi sku hyo mapema tu kwenye saa 5 nkalala zangu,sasa majira ya kama saa 8 nkasikia mlio mkubwa mno akili yangu ikanambia hapa itakuwa ni transformer ya mtaani imebutuka ghafla kidogo tena naskia buuu na kishndo cha mlango kuanguka hapo sasa ndo nkashtuka na kujua sasa tumeingiliwa.Waliingia ndani kama 10 wengine wanaweza kufika hata 20 walikuwa nje na silaha na wengine na mapanga,walivyoingia kituo cha kwanza ni chumba cha wanawake,wakavunja mlango ote wakawalaza chini,then ndo wakaja na kwetu sasa ote tukawekwa barazani,dah nakumbuka walisafisha nyumba maana walibeba mpka raba zangu,lakini cha ajabu hawakutupiga hata kofi,na walivyoingia walikuwa wanajua taa zinawashwa wapi na kila chumba anakaa nani,basi majirani wakataka kutoka wakaambia atakayetoka tu anakula shaba ya kichwa,basi mwisho wa siku wakaiba mikufu ya dhahabu,pesa then wakaondoka dah hakuna siku niliyojiona mjinga kama siku hyo,mwenye nyumba alikasirika mno maana mpka alikuwa analia basi,majirani ndo wakatoka wakawa wanatupa pole pale,kuna baadhi ya vitu walishindwa kubeba hvyo waliviharibu tu kama Tv kubwa ya chogo na hata vioo vya gari walivunja kama kukomoa tu na tv walilibamiza chini.Ilivyofika asubuhi saa 12 tukaenda polisi kitunda tukakuta kituo bado hakijafunguliwa wakati tunasubiria tunaona wanakuja watu wngine wamekatwa na mapanga wanavuja damu,kumbe kila walivyoondoka kwetu kila waliyekutana nae njiani alikuwa anaporwa vitu vyake na kuchezea mapanga,pale polisi tulikaa mpka saa 1 ndo wakaja polisi cha ajabu hawakutupa hata uzito wa kusema waje eneo la tukio kukagua na mengineyo mengi yalitokea nisingependa kuyaandika basi mzee kwa hasira akaamua kuipotezea kesi but siku ile ile tukawapigia ndugu simu na kuwaelezea kilichotokea walikasirika mno,akapigiwa simu marehemu babu yetu mzaa mama akaja alivyoambiwa alikasirika mno.Kikafanyika kikao kidogo nakumbuka kulikuwa na ndugu walokuja kutuona tu sku hiyo si chini ya 30,na kilikuwa kipindi mvua inanyesha.Basi mzee akawaambia wale ndugu mpka saa 8 mchana kila mwenye mtoto kati ya wale waliokuwa pale na yupo dar basi anahitajika amlete pale kabla ya hiyo saa 8,na kweli kwenye saa 8 ote walikusanywa then ikaanza kusomwa dua ndani ya nusu saa kwanza mvua ikakata then tukatoka nje ote dua ikaendele dua inasomwa watoto wanaitikia,dua inasomwa watoto wanaitikia lakini kadri dua ilivyokuwa inasomwa ndivyo radi zikawa zinazidi haliyakuwa mvua imekata na jua limechomoza majirani wakawa wanatuangalia tu tunachofanya maana ilikuwa tunafanyia barabarani kabisa ya nyumbani,akaletwa mbuzi akachinjwa alafu akaachwa bila kichwa kumalizwa,unaambiwa mbuzi alikuwa anaruka zaidi ya nusu saa mwsho kabisa akafa akifa amesimama yah ndiyo alikufa akiwa amesimama kabisa huku shingo inaninginia baada ya dua tukamwachia mungu atupe majibu yake,lakini tukaambiwa kilichoibiwa kimeibiwa hvyo hata kikirudishwa haturuhusiwi kukipokea.
Kilichofata usiku ule ule majirani zetu wawili ambao siku ya tukio walikuwa mwanza walichomana visu vya moyo nakufa ote,Asubuhi kuna mzee mmoja jirani yetu ambae pia siku ya tukio alikuja kutupa pole alipata maumivu makali ya kichwa na kujipiga kichwa ukutani mpka mauti,inshort mpka siku ya 5 baada ya tukio walikuwa watu 10 ambao nawajua mtaani maana ilikuwa ni aliyeiba,aliyeshiriki,ote mungu awaadhibu naam ilikuwa ni adhabu mpka leo ukisahau simu yako barabarani unaikuta.
Hyo ndo experience yangu ya kuvamiwa na majambazi japo kuna baadhi walikuja kuomba msamaha na kurudisha vitu na hata kutoa fidia lakini hatukuweza kuvichukua au kuweza kusamehe tena japo roho ziliturudi ila ndo hvho vifo viliendelea ndani ya siku 10 mfululizo i hope kama binadamu unaweza kujua tulikuwa katika mtihani gani japo tulifanya kwa hasira ambayo iligeuka huzuni
asante mungu yalipita

Home Boy kabisa wewe. Mi bado nipo pande hizi MzeeMkuu u mwenyeji sana huko eeeh dah kitambo hicho ilikua mitaa yetu nyakato, mecco, buzuruga, mha’ndu, gedeli n.k
Sikutaka kabisa kujihusisha hata mama alikuwa nanamfahamu na yeye alimsikia maana mara kwa mara akiwa anaenda kazini....Hiyo sauti uliisikia ya Polisi jirani yenu ukuchukua hatua yoyote baada ya kuponA
Sent using Jamii Forums mobile app
ntawaelezea mkuu,nikiwa free maana ntawaeleza jinsi tulivyoendeshwa mpka tukamalizana nalo tena kwa evidence maana mpka now kuna baadhi nnazoWe mzee umekutana na visa vingi maishani, nimekumbuka kisa chako cha mambo ya uchawi na lile jini, halafu mbn uligoma kutuambia mlimalizanaje na lile jini??
Sent using Jamii Forums mobile app
yani aliyekuwa jamabazi,aliyetoa ramani,inshort yoyote aliyeshiriki mpka aliyenunua vitu vyetu na akawa anajua ni vyetu na yeye alikwenda na maji inshort kulikuwa na misiba ya kutosha mtaani na ote walokuwa wanakufa wakawa wanatunyooshea vidole kuwa ni sisi ndo tulofanya hiyo dua,ombwa sana msamaha lakini ndo hvyo tena dua ishasomwa nakumbuka ilifikia kipindi mpka nikawa narudi home saa 7 na kuondoka saa 11 ili tu nsionane na watu wa mtaaniMzebaba hao walokufa kwa dua ndo walikuwa majambazi wenyewe ama??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali hivi sasa ni shwari, wamebaki vibaka wa Mecco tu nao taratiibu watakwishahyo mitaaa anzia meco,national na igoma n full ujambaz plus vibakaa
Akili yangu yote hili wazo nilikuwa nalo peke yangu.Huu ni uongo tosha
Majambazi hawana muda wa kujibishana na wewe. Eti hela nimepitisha kazini
Majambazi hujawahi kutana nao.
Umesema uliwekwa uvunguni, akaletwa na HG naye uvunguni...
Baadae unasema Mdogo wako aliwekwa chooni na HG
Mkeo hujasema alikuwa wapi
Majambazi hawama sababu ya kurusha risasi kama hakuna kilichotokea nje ya eneo la wizi.
Majambazi sio wajinga una bastola wakuachie wakiwa wanaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mno kakaNiliripoti Polisi ila hakukua na chochote cha maana na ukunbuke nilikua mkoani huko! Yaani dah
Home Boy kabisa wewe. Mi bado nipo pande hizi Mzee