MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,455
Story yako imenitoa machozi nikikumbuka kuna mwanangu nimezika mama yake soon basi tu Mungu awe nawe daima.Taitu kalesa, muli uli yikolo?
Vp mzee[emoji23][emoji23][emoji23]Ninampango wa kununua pisto muda si mrefu qumamae
Mkuu, cku hizi haustui ugolo kweli, Mana tayari ushakutana na damu ulipouonja[emoji28]Nakumbuka ilikua mwaka 2011.
Nikiwa nafanya biashara ya viatu jijini Dar es Salaam, hapo nna miezi sita tu tangu kuingia jiji hilo la kibiashara.
Nikawa naishi na mshkaji wangu maeneo ya Kimara butcher.Siku moja nmetoka Kariakoo kuchukua mzigo nikawa narudi huku natembea mdogomdogo barabarani foleni ilikuwa kubwa sana. Mahesabu yangu nikifika mbele kabisa ambako hakuna foleni sana nipande daladala.
Ghafla kufika maeneo ya Manzese nakutana na kundi kubwa la vijana wakiwa wamebeba mapanga,kuna jamaa yupo njiani ananambia hao ndio wafalme wa Dar es Salaam. Mimi nikasogea nijue kuna nini wakasogea barabarani wakaizingira gari moja ilikuwa imepakia ng'ombe nikamfuata kijana mmoja wao nikamuuliza kwani vipi akasema wale ng'ombe ni wa kwao wameibiwa.
Utingo wa lile gari akawa anajitetea kuwa wao wamepewa kazi tu ya kusafirisha yeye hajui issue yoyote kuhusu hao ng'ombe.
Aisee! Ghafla kijana mmoja akamfuata utingo akampiga panga la mgongo kisha vijana wengine nao wakaanza kumkatakata utingo kama nyama vile nikaona hii kesi ngoja niondoke.
Ghafla mmoja wa wale vijana nae akiwa kabeba panga akaniita,akanambia kaa pembeni hapo.
Alarm ya hatari ikalia kichwani mwangu nikaona hapa soon naibiwa ikabidi nijifanye na mimi mhuni,
nilivyoona haniangalii nikatoa hela mfukoni nikaweka kwenye kiatu kijanja sana halafu nikamuuliza yule kibaka aliyenizuia kuondoka "oya hivi maeneo haya wapi napata geji?(ugoro)"
Jamaa akanishangaa kidogo,akanambia mbona pale maeneo ya kuuza geji yapo kibao twende anipeleke.
Nikamwambia tatizo sijatembea na hela hivyo kama ana ugoro kidogo anisaidie maana nina arosto mpaka mavi yananibana.
Jamaa akasema nisimzingue kwani kwenye begi nimebeba nini.Hapo kawoga kapo kwa mbali nikamfungulia begi nikamwambia kuna viatu tu ndo nataka nikaviuze nipate pesa.
Jamaa akamwaga viatu vyangu vyote hakuona pesa,akaanza kunisachi mifukoni hakukuta pesa, akanambia bahati yangu nina arosto angechukua viatu vile.
Akanitolea ugoro akanambia nichukue kidogo, nami kujifanya mhuni ikabidi nizuge hivyo hivyo nikachukua nikaupachika mdomoni.
Nilikuwa sijawahi na sijui hata kuutumia huo ugoro ila nikazuga jamaa wakanambia niondoke hapo nawatilia kiwingu ikabidi nisepe haraka haraka kufika mbele nilitembea haraka nikapanda daladala.
Tangu siku hiyo nilijifunza kumind my business yaani kushangaa mwizi wa ng'ombe kulitaka kusababisha na mimi niibiwe.
Siku hizi hata nikikuta mtu anaibiwa ilimradi mimi siathiriki chochote basi siingilii.
Kuna siku nilikuta vijana wawili wanamuibia mwanamke karibu na machinga complex nilipita kama sioni vile.
Kila mtu ana njia zake za kuingiza kipato., sihangaiki na ishu za wengine mpaka ziwe zinagusa maslahi yangu
jamaa wa ugoro ameamua amind his own business,hahahaMkuu, cku hizi haustui ugolo kweli, Mana tayari ushakutana na damu ulipouonja[emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nilikuwa natoka kuangalia Mechi UEFA,2005 Finali ebwana wewe Sasa Mtaa wangu ulikuwa Mbali na Center kwenye Umeme/Banda umiza.Nilikutana na Majambazi yametoka kuvunja Maduka yanagawana na kupanga vitu kwenye Hilux mbili.Wajinga walivyoniona wakasema JIIIIIINI HILO LIACHENI mmoja alianza kuikoki SMG (Hahaha! Nilipofika nyumbani ndiyo nikajua kumbe UREA ilitiririka unknownly).
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kwenye daladala , nimecheka mpaka abiria wananishangaa, aisee noma sanaNakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.
Siku hiyo ilikua week end tukatoroka shule kwenda mitaani kuinjoy, kula vitu adimu na kutafuta mademu.
Basi bhana tulikua wanne tumeenda mitaani tumefanya kila kitu mpaka mida ya saa tatu hivi usiku( ilikua ni kijisehemu kimechangamka sana, CENTER)
Wakati tunajiandaa kuanza safari ya kurudi shule mara ghafra wazee wa kazi wakavamia pale kwenye maduka, basi bwana purukushani za hapa na pale kila mtu akatoka nduki.
Wengi tulikimbilia makaburini coz hayakua mbali halafu ndo sehemu iliyokua walau mtu unaweza kujificha.
Basi bwana tumejificha kwenye makaburi wazee wa kazi wakaendelea kukiwasha duka baada ya duka, kati ya hayo maduka kulikua na frem ya salon na kuna wateja walikua wananyolewa(baada ya kuvamia jamaa walizima taa wakawa kimyaaa) basi majambazi si yakafungua mlango wa salon,hahahahaaaa!
Alitoka mshkaji mmoja amenyolewa upande na shuka jeupe shingoni nduki ya ajabu sana kama mshale, jamaa nae akakimbilia uelekeo wa makaburini, ile kufika akatukurupua( maana alikua nduki mbaya halafu anakimbia juu ya misalaba huku shuka linapepea kwa nyuma) kuona vile group lote tuliojificha tukadhani jamaa alikua kafufuka basi tulitoka nduki kumkimbia, na yeye kuona tunakimbia akadhani nyuma kuna jambazi linamkimbiza akaongeza spidi kutufuata, jamani jamani ilikua mshike mshike wa hatari, tulikimbia kama wendawazimu,.
Huku nyuma majambazi yameshaondoka sie tunakimbizana na jamaa. Tulijikwaruza sana kwenye vichaka pamoja na kuanguka kwenye makaburi, tuliumia sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
ooh so sad aisee.Habarini wakuu,
Naona uzi umepoa,ngoja namimi niweke kisa changu..
Hii haikunitokea mimi ila ilimtokea mtu aliyekuwa karibu na familia yetu,Namkumbuka kwa jina moja la MACHIWA
HUYU alikuwa ni “Mtumishi” wa serikali..
Kwa walioshi/wanaoifahamu TARIME ya miaka 2000’s ilikuwa hatari sana kwa ujambazi wa kutumia silaha.
To make a story short, kuna GANG moja ya Majambazi ilikuwa identified na marehemu alihusika katika kutoa taarifa na kuzipeleka kwa “wahusika”,Kumbe baadhi ya “wahusika” nao walikuwa wanashirikiana na hilo GANG la majambazi sugu.
KILICHOTOKEA
Baada ya Marehemu kuonekana kuwa ni THREAT kwa hilo GANG,basi walipanga njama za kumpoteza kabisa ili iwe fundisho kwa wengine..ilikuwa usiku mmoja marehemu amejipumzisha na familia yake,alishtukia mlango unavunjwa na wauwaji wakaingia ndani,hawakupora hata sh.100 mbali na kwamba marehemu aliwaomba wachukue chochote wanachoweza ilimradi wasamehe roho yake na ya familia yake,majambazi hawakujali,walimpigisha magoti mbele ya familia yake na kumkatakata mapanga mpk walipohakikisha amefariki then wakaondoka.
Marehemu alifariki kifo cha uchungu na kuacha familia yake na watoto wakiwa wadogo just because he tried to what was right but the system WAS full of ASSHOLES.
R.I.P Mr.Machiwa,Naimani wengi walioishi tarime miaka hiyo wanafahamu hii stori na incase nikiwa nimekosea/nimesahau kitu naomba anayeweza aongezee nyama.
Note;Nyie majambazi mliohusika na alitewatuma(probably mpo humu); MAY YOU ROT IN HELL!!!!
Nimesoma hii habari nikiwa nategemea kwamba mr machiwa ali survive somehow. Kumbe maisha sio kama muvi kwamba watu wema mwishoni wanabakiHabarini wakuu,
Naona uzi umepoa,ngoja namimi niweke kisa changu..
Hii haikunitokea mimi ila ilimtokea mtu aliyekuwa karibu na familia yetu,Namkumbuka kwa jina moja la MACHIWA
HUYU alikuwa ni “Mtumishi” wa serikali..
Kwa walioshi/wanaoifahamu TARIME ya miaka 2000’s ilikuwa hatari sana kwa ujambazi wa kutumia silaha.
To make a story short, kuna GANG moja ya Majambazi ilikuwa identified na marehemu alihusika katika kutoa taarifa na kuzipeleka kwa “wahusika”,Kumbe baadhi ya “wahusika” nao walikuwa wanashirikiana na hilo GANG la majambazi sugu.
KILICHOTOKEA
Baada ya Marehemu kuonekana kuwa ni THREAT kwa hilo GANG,basi walipanga njama za kumpoteza kabisa ili iwe fundisho kwa wengine..ilikuwa usiku mmoja marehemu amejipumzisha na familia yake,alishtukia mlango unavunjwa na wauwaji wakaingia ndani,hawakupora hata sh.100 mbali na kwamba marehemu aliwaomba wachukue chochote wanachoweza ilimradi wasamehe roho yake na ya familia yake,majambazi hawakujali,walimpigisha magoti mbele ya familia yake na kumkatakata mapanga mpk walipohakikisha amefariki then wakaondoka.
Marehemu alifariki kifo cha uchungu na kuacha familia yake na watoto wakiwa wadogo just because he tried to what was right but the system WAS full of ASSHOLES.
R.I.P Mr.Machiwa,Naimani wengi walioishi tarime miaka hiyo wanafahamu hii stori na incase nikiwa nimekosea/nimesahau kitu naomba anayeweza aongezee nyama.
Note;Nyie majambazi mliohusika na alitewatuma(probably mpo humu); MAY YOU ROT IN HELL!!!!
Mkuu vibaka au najam azi hawana formula,usikariri
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nikiwa shule O-level ilikua boarding.