Tukutane hapa tunaozichukia simu kubwa, tunapendelea zaidi simu ndogo tunazoweza kuzimudu kiganjani kiurahisi

Tukutane hapa tunaozichukia simu kubwa, tunapendelea zaidi simu ndogo tunazoweza kuzimudu kiganjani kiurahisi

Nilipotoka iphone 5s nikahamia Iphone 8mini na bado nipo nipo sana hapa

Matumizi mengineyo natumia Pad au Pc
 
Ukiacha faida za kisayansi ya Simu kubwa kua rafiki kwa macho, sisi wengine miili yetu ni mikubwa over 6ft sasa naonekana natoa kitochi kama iphone 5s kwanza kwenye mkono hakatoshi.

Mimi masimu yangu ni makubwa tu.
 
Back
Top Bottom