Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 7,621 Reaction score 12,505 Sep 12, 2023 #41 Nilipotoka iphone 5s nikahamia Iphone 8mini na bado nipo nipo sana hapa Matumizi mengineyo natumia Pad au Pc
Nilipotoka iphone 5s nikahamia Iphone 8mini na bado nipo nipo sana hapa Matumizi mengineyo natumia Pad au Pc
Mukulu wa Bakulu JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 4,051 Reaction score 12,954 Sep 13, 2023 #42 Ukiacha faida za kisayansi ya Simu kubwa kua rafiki kwa macho, sisi wengine miili yetu ni mikubwa over 6ft sasa naonekana natoa kitochi kama iphone 5s kwanza kwenye mkono hakatoshi. Mimi masimu yangu ni makubwa tu.
Ukiacha faida za kisayansi ya Simu kubwa kua rafiki kwa macho, sisi wengine miili yetu ni mikubwa over 6ft sasa naonekana natoa kitochi kama iphone 5s kwanza kwenye mkono hakatoshi. Mimi masimu yangu ni makubwa tu.