Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
acapulco bay, la mujer de la vida
the promise
tausi
bishanga
egoli
vioja mahakamani
mzee majuto, mzee small
oshin
passions
perfect strangers (comedy) etc.
Hahaha na kibibi bila kumsahau kalumanzira.....waungwanaaaa!!
Hahaha na kibibi bila kumsahau kalumanzira.....waungwanaaaa!!
Umenikumbusha mbali sana, hizi zilikuwa ni za action hazina love story, wapangaji walikuwa wanajaa chumbani kwa mdingi baada ya taarifa ya habari 8:30 kuziangalia.Hizi zilikuwa zinaonyeshwa ITV kuanzia mwaka 1994 walivyoanza kurusha matangazo
1.Time Trax (Beyond 2000)
2.Renegade
Sunset beach....
Peyaaaaaaa kurosimida chonaaaaJumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Peyaaaaaaa kurosimida chonaaaa
Time Trax