Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

acapulco bay, la mujer de la vida
the promise
tausi
bishanga
egoli
vioja mahakamani
mzee majuto, mzee small
oshin
passions
perfect strangers (comedy) etc.

dah vituko mahakamani naipendaga sana
 
Zangu ni
1. PASSION
2. The bold and the beautiful
3. ACAPULCO BAY
4. La mujer de mi vida
5. TAUsi
6. Kidedea
7. CHUMONG
8. The land of Wind
zingine ntaendelea baadaYE.
 
Hizi zilikuwa zinaonyeshwa ITV kuanzia mwaka 1994 walivyoanza kurusha matangazo
1.Time Trax (Beyond 2000)
2.Renegade
Umenikumbusha mbali sana, hizi zilikuwa ni za action hazina love story, wapangaji walikuwa wanajaa chumbani kwa mdingi baada ya taarifa ya habari 8:30 kuziangalia.
 
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Peyaaaaaaa kurosimida chonaaaa
 
The Long wait ya akina RED BUTTERFLY..........naipenda saaaana Nakumbuka 2007 Almanusura nisifanye necta kwa sababu nilitoroka kwenda kuingalia marudio af tukakamatwa........na keaho yake nlikua naanza paper ya necta haloooooo sitakaa nisahau aseee
 
Days of our lives

Bold n beautiful

The beuty n the beast

Egoli

Renegade

Touched by an angel

Young n restless

The girl of tommorrow

Etc etc
 
The passion(wakina charity na miguel)
Sunset beach
young and the restless
bold and beautiful
Egoli the place of gold
acapulco bay
the promise(yna and Angelo)
timeless
it might be you(cielo and yuri)
perfect strangers(my frt comedy)
family matters(steve)
fresh prince of .....(by the way yule mdingi alieigiza kama baba wa will smith amefariki juzjuz.RIP to him
 
Back
Top Bottom