Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

hapa tutapata jua umri wa watu.

Kweli kabisa..tayari hapo juu..wamesema walikua Primary school..anza mahisabati ujue umri wao...hahahahahaa
 
wetu sote,afavorita,bela a feia,muvhango,7 de laan,scandal,intorragation room,carras e bocas,rebelde,revelação,bichos de matos,os montantes,rebalão do tempo,7 pecados,viver a vida,caminho das indias,barriga de aluguer,vidas em jogos.beleza purra,escrava Isaura,historia de Ester. Nalog off
 
zamani maana yake nini.mimi nimeanza kuangalia t.v miaka ya tisini na ushee ambapo kwangu mimi sioni kama ni zamani.
 
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!

nakuunga mkono, napenda sana jumong.
 
painter of the winds
emperor of the sea
jewerly in the palace
slave hunter
zote ni korea drama
 
Back
Top Bottom