Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

La revancha-ila kwa sasa inarudiwa na TBC
Secreto De Amor
La mujer De Lorenzo
 
Cosby, family matter, renegady, pointman, bold and beautiful, acupulco bay, perfect strangers, la mujer de mi vida, la mujer de lorenzo, cuando seas mia, todo sobre camilla, tausi, mambo hayo, maisha, la revencha, rebecca, storm en la paraiso,
Sabry001, umenikumbusha mbali sana nilikuwa University nakumbuka lamujar de mivida/lorenzo through ITV tulikuwa tunapata dinner mapema then tunaenda prepor ikikaribia kuanza tamthiliya unaona wote tunashuka mwabwenini ktk TV zutu, that was intersting, ila tmthiliya za Star Tv zilipoanza zikazifunika za ITV like Timeless etc
 
La revencha, rebeca, second chance na ile ya kenya iliandikwa na mutua ambaye ni msemaji wa ikulu ya kenya ila jina lake nimelisahau kama cobra....... Sikumbuki.
 
La revencha, rebeca, second chance na ile ya kenya iliandikwa na mutua ambaye ni msemaji wa ikulu ya kenya ila jina lake nimelisahau kama cobra....... Sikumbuki.​

....
Cobra Squad
 
Tausi ndege wangu ndege wangu wa fahari.....wapitao watu wawili watu hao kutoka mbali.......

Family Matters...steve na miwani yake na alivyokuwa anachanganya machemicals...ha ha ha ha

Renegade.....na pikipiki lake..enzi hizo itv ndio ilikuwa juu.....
 
martin,hanging with mr.cooper,eddie n malcom,steve harvey,.hizi comedy zilikuwa noma
 
Tausi hii nimengalia enzi zile hata TV za Tanzania zilikuwa bado hazijaanzishwa tulikuwa tunaangalia kupitia KBC
Mjuba,Mzee Kasri,Siti,Ashina,Jesca Brown,Lindi,Dama na wengine kibao
 
Tamthilia Hizi hapa down
1.EGOLI
2.SECRETO DE AMOR wakina maria clara carlos,barbara,lisandro
3.THE LONG WAIT yuli orbida,katrina,helena
4.IT MIGHT BE YOU
5.MORE THAN LOVE
6.REBECA
7.SHADES OF SIN
8.THE SECOND CHANCE jaman salvador mweeee
9.LOVE IS TIMELESS
10.THE STOLEN MOMENT

Nikikumbuka natmani zirudiwe mweeeee uroda mtupu...!
 
Back
Top Bottom