Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAJI MZITO-Amr Bawji
Hii ilikuwepo kwenye jarida la SANI,najua wengi watauliza mbona sio ya kwenye Tv?
Ni kwamba kipindi hicho kwetu hakukuwa na tv !!
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
hapa tutapata jua umri wa watu.
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
wakorea ni mwisho wa yote,kuna moja ilikuwa inaitwa painter of wind ,watu tulikuwa hatujali hata kama kuna pepa kesho yake.Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!
Jamani ISIDINGO aiishi