Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tamthilia ya mabwepande iliyochezwa na bageni stering akiwa zombe
 
Nimekaa nikaanza kuzikumbuka Tamthilia za zamani kwenye Tv zetu

1.Life Goes on
2.227
3.Fresh Prince of Bell Air
4.......
5........

endelea

Living single (Queen Latifah na wenzake), Renegade (Rhino Ranks, Richmond Branscombe,...), Beyond 2000, etc
 
The Promise!
Yna&Angelo
ilikuwa tamu sana wafilipino wanafuata baada ya wakorea kwa tamthilia kali
 
nimetazama tamthilia nyingi kutoka mataifa mbalimbali, hadi sasa nakiri kusema sijaona waandishi na waigizaji wazuri wenye hadithi nzuri za kuvutia na kusisimua kama wakorea.hadi sasa sijawahi kuboreka na tamthilia yoyote niliyoiona ya kikorea. hata wamarekani hawaingii ndani.
halafu ukitazama unajifunza mambo mengi sana kuhusu visa mikasa na historia ya taifa lao na wale jirani zao. ni class tosha.
kwa sisi tunaopenda karate kungfu,ma taichi na staili zote za kupigana kwa akili na mbinu tunakosheka sana.

Nakuunga mkono wakorea wako vizuri sana binafsi nawapa credit kuliko wamarekani
 
The young and the restless kama sijakosea jina ilikuwa inaonyeshwa saa kumi na mbili jioni itv!!
 
Back
Top Bottom