Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Zamani ipi?
1. It might be you
2. more than love (maging sino ka man)
3.only you
4.growing up
5.Timeless
 
Umeona eeh! nakumbuka tulivyokuwa tukiazimana gazeti la sani, unaazima kwa mtu na wewe unaenda kuazimisha mara uliyemuazimisha analipoteza weee, kesho yake ukienda shule mwenyewe anataka gazeti lake, sikilizia balaa lake hapo
MAJI MZITO-Amr Bawji
Hii ilikuwepo kwenye jarida la SANI,najua wengi watauliza mbona sio ya kwenye Tv?
Ni kwamba kipindi hicho kwetu hakukuwa na tv !!
 
Mimi nakumbuka tamthilia ya Sunset Beach ile ya akina Michael, Meg na wale jamaa mapacha waliokuwa maadui wakubwa Derrick na Eric
 
Hapo zamani tv aliangalia mwl nyerere na family yake tu wengine tamthilia zetu zilikuwa ni Kombolela,kibaba.
 
the promise,timeless.zilitisha sana yna,angello,ara,christian walisumbua
 
The bold and the beautiful
kila siku saa 2:45 usiku mpk 3 na robo i.t.v


na ile ya jini kipua
nimeisahau jina
kila jumatano saa 3 na robo usiku i.t.v
 
Back
Top Bottom