Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
- Thread starter
-
- #21
hapa tutapata jua umri wa watu.
....Ipi ilipendwa zaidi katika zote mlizitaja? Mana mi sijaziangaliaga.
Jumong! hii ni mwisho wa yote. hata ikirudiwa mara 200 siwezi kuacha kuangalia. baada ya hiyo kuna ingine inaitwa The lands of winds! hizi zote ni Korean legendary drama. hizi drama ni balaa, kwa asiyewahi kuziona azione ni nzuri mno!!!!!!