Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Hii tamthilia sijui ka inakumbukwa bibi timi alikuwa na doli lake,mara lizimie mara ligande mara liamke liwe mtu,yule bibi alikuw mchawi haswaaa
Ilikuwa inaitwa "PASSION" huyo bibi timi alikuwa anaitwa "Tabitha"
Wahusika wengine ni Teresa,Miguel, faith,Kay na wengineo
 
Umenisemea aisee,.hivi inapatikana sasahv kweli? Nakumbuka wimbo wao..."tausi ndege wangu,ndege wangu wa fahari,ndege umekwisha mali sasa wataka buri",.....[emoji7]
.....wapita watu wawili... Waloleta ufahari ...sasa tuko mbalimbali...
 
Back
Top Bottom