Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

Tausi ndege wangu......
Siti binti kasri, Dama na Mujuba!
hahahaaa
Ingine....THE BOLD AND THE BEAUTFUL..........

Wewe ni noma! Umenikumbusha tamthilia nzuri sana ya Siti binti Kasri. Ni vyema kama tutakuwa tunaenzi kilicho chetu na chenye maadili ya kiafrika kuliko kushabikia mambo ya ughaibuni!
 
Hadi sasa Haijatokea tamthilia kama Sunset beach

Nadhan kipindi kile walikuwa hawana utaalam wakuedit kabla ya kurusha hewani.

Sunset beach love scene zilikuwa live mpaka bunge likastopisha kwa uvunjifu wa maadili
 
Nimekaa nikaanza kuzikumbuka Tamthilia za zamani kwenye Tv zetu

1.Life Goes on
2.227
3.Fresh Prince of Bell Air
4.......
5........

endelea
Hizi zilikuwa zinaonyeshwa ITV kuanzia mwaka 1994 walivyoanza kurusha matangazo
1.Time Trax (Beyond 2000)
2.Renegade
3. Roots
4. Living Single
5. Mambo Hayo (Bocha, Sumbi, Waridi na Aisha). Hawa ndiyo kundi lka kwanza kabisa kuanza kuonyesha maigoizo kwenye TV hapa Tanzania. Baadaye walikuja wakaondoka Sumbi na Bocha, wakawa replaced na Bishanga Bashaija Ntambulamaloko Ntinti na Ntalae pamoja na Richie (Single Mtambalike)
 
The Shadow
Passion...bibi Tabitha,Timmy....Ethan na Theresa
......
Kisulisuli...(.ilikatishwa TBC)
......
 
acapulco bay, la mujer de la vida
the promise
tausi
bishanga
egoli
vioja mahakamani
mzee majuto, mzee small
oshin
passions
perfect strangers (comedy) etc.
 
Mimi nakumbuka "it might be you" ilinifurahisha sana akiwepo jamaa mwigizaji maarufu kwa jina la Yuri na katrina noma sana sijui walipotelea wapi hawa siku hizi .Endelea.....
 
Back
Top Bottom