The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Kama imebaki kidogo umalize obviously utakuwa umeshapauwa hapo kama siyo mtu wa kujiuliza uliza maswali unaingia hivyo hivyo vingine vitakukuta.Yani unakuta maybe imebaki umalizie kidogo,unashindwa kumaliza
Ukipata hela ya kumalizia kuna jambo linatokea unatumia hela yote.
Kinachokwamisha ujenzi baada ya kuinua boma ni kupauwa kutokana na kunahitaji hela nyingi ya pamoja kwa wakati mmoja ila ukishavuka hapo hata ukiwa na 300K ukaita fundi anafanya kitu kinaonekana.