Pole san mkuu ila nlichogundua watu wengi hawajengi nyumba kwa mahitaji yao bali wanajenga like kufanana au kushindan na ndugu,jiran,jamaa na marafiki mwisho wa siku nyumba nyingi mnaziacha nakuwa mapagara ya kuficha wezi,wavuta bangi na mirungi pia wezi....
Labda nikushauri jambo kama tayari umeshamwaga zege ya slub bas weka mlinzi then anza kuimalizia taratibu fikiri hata mbinu ya kuibadili iwe na vyumba vya kupanga ile kodi yake unaendeleza nyumba kidogo kidogo achana na kuwaza eneo la juu boresha chini paonekne nyumba bas mengine utafanya mbele ya safari
Endelea kupambania kombe lako kiongozi