Tukutane tunaomiliki magofu kwa ajili ya kufarijiana

Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki

Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo za kupanga au tena ukahitaji kujiwekeza kwenye ujenzi kama biashara

Sasa kama ilivyo kawaida kujenga hakujawai kuwa rahisi, baada ya kupiga hesabu zangu nikaona nisimamishe kibanda cha vyumba vitatu na sebure nikiwa na uhakika na biashara yangu kuimarika kiasi kwamba kila mwezi ninaweza kusave 1ml nikaelekeza kwenye ujenzi

Doh! Najuta baada tu ya kuamsha boma upepo wa biashara ukabadirika na nisiweze kunyanyuka mwaka wa pili huu boma limekuwa gofu kila nikipiga ramani hazieleweki.

Je vipi kwako mdau nyumba yako imekamilika au umejiunga katika jumuia ya magofu tz? Unafanyaje kujiondoa katika hali hiyo?

Karibuni
Kuna

Kuna baadhi ya maeneo ukianza ujenzi unaweza usimalize ni mambo ya ushirikina tu
 
Nakumbuka wakati naanza kujenga niliambiwa hili eneo watu wanajenga wanafikia hatua fulani hawamalizi kujenga na material yatabaki hapo chini mpaka yaharibike au kuibiwa haya mambo yapo, ila mtangulize Mungu,
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Una utani na mleta mada wewe 🤣
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
Hapa wengi ni wamiliki pagale wanafarijiana.
 
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki

Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo za kupanga au tena ukahitaji kujiwekeza kwenye ujenzi kama biashara

Sasa kama ilivyo kawaida kujenga hakujawai kuwa rahisi, baada ya kupiga hesabu zangu nikaona nisimamishe kibanda cha vyumba vitatu na sebure nikiwa na uhakika na biashara yangu kuimarika kiasi kwamba kila mwezi ninaweza kusave 1ml nikaelekeza kwenye ujenzi

Doh! Najuta baada tu ya kuamsha boma upepo wa biashara ukabadirika na nisiweze kunyanyuka mwaka wa pili huu boma limekuwa gofu kila nikipiga ramani hazieleweki.

Je vipi kwako mdau nyumba yako imekamilika au umejiunga katika jumuia ya magofu tz? Unafanyaje kujiondoa katika hali hiyo?

Karibuni
Aaaaah usiniambie kitu kuhusu hili jambo mzee mpk renter imekua nyeusi tiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom