Tukutane tunaomiliki magofu kwa ajili ya kufarijiana

Vijana wa hovyo ndio hawa taifa linawangalia tu pombe aina ya kisungura zinavyoharibu akili zao eeeh Mungu tusaidie
 
Duh kuna nyumba inapigwa Plaster na kuwekwa umeme bila kuezekwa?
Tembea uone dunia imejaa mengi, hata hivyo kama kafanya yote hayo atakuwa yupo pazuri kidogo
 
Pole san mkuu ila nlichogundua watu wengi hawajengi nyumba kwa mahitaji yao bali wanajenga like kufanana au kushindan na ndugu,jiran,jamaa na marafiki mwisho wa siku nyumba nyingi mnaziacha nakuwa mapagara ya kuficha wezi,wavuta bangi na mirungi pia wezi....
Labda nikushauri jambo kama tayari umeshamwaga zege ya slub bas weka mlinzi then anza kuimalizia taratibu fikiri hata mbinu ya kuibadili iwe na vyumba vya kupanga ile kodi yake unaendeleza nyumba kidogo kidogo achana na kuwaza eneo la juu boresha chini paonekne nyumba bas mengine utafanya mbele ya safari
Endelea kupambania kombe lako kiongozi
 
Ushauri mzuri mkuu japo kwenye kujenga kushindana sina uhakika sana maana mimi nilianza kujenga ili niondokane na pango linalonipa ufinyu wa kukaa

Kwa maana kulingana na kipato hakiniruhusu kukaa kwenye apartment au kukodi nyumba nzima nikae na familia yangu nikaona bora nilianzishe mdogo mdogo sema mambo zikabadirika ila zingeenda sawa ningeshahamia kitambo sana
 
unavyo ongeza maumivu ndio unatafakari utapatawapi pesa hakuna pesa nyingi kidogo unachopata tunza lipo mkoa gani
Ndy hivyo mkuu kwanza napambania mtaji nirudi barabarani nikianza niwe na nguvu,,,,,lipo Tanga
 
Ndio hapo sijui hata inakuaje, nilishangaa
Linakuwa pagala kama la vyumba vitatu au vinnze au hata zaidi ila unaezeka chumba kimoja kwa kulaza bati na kukarabati vizuri unahamia huku ukivuta pumzi ya kupaua na kuezeka nyumba nzima

Kuhusu kupiga lipu unapiga tu ili kuzuia tofari zisimegeke na erosion mbalimbali
 
Ile sio nyumba ya kawaida ni nyumba ya maana kabisa ina room nyingi, ni boma zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…