Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
Wewe ni mtu wa Mbeya?ulishawahi fanya kazi Jakaranda?
 
wengine tunasubiri Muda wa Kuoa ufike tuone tutalamba au tutalambwa
 
Kwa hiyo mwanangu umepata anayejua kukata mauno? Kwani mauno sh ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hivyo najitahidi nione umuhimu wake ila sasa kila saa ananitumia meseji nikichelewa kujibu analalamika balaa had imekua kero, sahiv Nampa adhabu ndogo ndogo ya kutokujibu meseji zake hadi yapite masaa 24
Ipo siku utamkumbuka ni muda tuu utahukumu hicho unachomfanyia, hivi ulishawahi kuwa na mwanamke una danganya hata unaumwa ili ahangaike kukutafuta lakini wala yeye hajali yani upo kwenye mahusiano kama haupo?
 
Kuna huyu Rukiya Salum bana sikumuacha sema shida ilkuwa ni dini baba yake alkuwa ni Shehe huko Singida mtoto alkuwa na kila sifa ya wife material ,alkuwa ananijali nikimkwaza analia then ananisamehe yanaisha, Bibi yke altupambania san altaka nimtoroshe tukaishi mbali baadae tutarud lkn sikuipenda hyo skhz namkumbuka san ukizingatia tangu tumeachan miak 5 iliyopita sijawahpata msichana serious na mm ten.
 
S....... dini ikawa kikwazo 😂😂, hatimae ukajazwa mimba ukaenda nayo advance

Flora-- mtoto mzuri, mweusi nikazingua mwenyewe

Christina 😃 wewe tulikubaliana tuvushane ujana ila ulipaswa uwe mke

Wonder (code) we mchaga najua ulipo ila umeshapewa kibendi nitakutafuta tupashe

Agneta (code) toto la kisukuma 😂😂🙏🙏ubarikiwe sana nisiseme mengi ila ulikua wamoto

Violeth I, II ,III hawa wote walipaswa kuwa wake ila sasa tukaishia kuzagamuana tuu

Huyu wa sasa duh.... Tabia nzuri ila sura ya baba
 
Mistari minne ya mwisho imenipoteza sijaelewa kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…