Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Unakumbusha madonda yaliopona,nilipataga wanawake wawili yani walinipenda sana,basi mimi kwa ungexe wangu nikawa nawapelekesha vibaya sana,bado wakanipenda nilikuja kuachana nao kwa sababu za kijinga sana eti hawajui kukata mauno yani wale ndo walikuwa wake zangu wa kweli popote ulipo Christina na evaline daima nitaendelea kuwapenda

Aisee hebu nipe namba za evaline na christina nataka kuoa
 
Loh mwangaza wangu yule bint japo over size ila alikua wife material well raised na baba ake alikiwa na kipato cha kati, tabasamu kila saa msafi, hana njaa ya pesa, na accent, nzuri ya kiingereza, ila kubadili Dini ukawa mtihani. Ila yule mutsi ntamukubuka hana tabia za uswahili swahili, mpaka leo sijapata mbadala wake.
Namba zake pls nimuoe
 
Unakumbusha madonda yaliopona,nilipataga wanawake wawili yani walinipenda sana,basi mimi kwa ungexe wangu nikawa nawapelekesha vibaya sana,bado wakanipenda nilikuja kuachana nao kwa sababu za kijinga sana eti hawajui kukata mauno yani wale ndo walikuwa wake zangu wa kweli popote ulipo Christina na evaline daima nitaendelea kuwapenda
Umeandika kwa uchungu sana mkuu.
 
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.

Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately, sikutambua thamani yake mpaka nilipopata vibaka wakunipuna na kunivunja moyo wangu.

Siwezi kusahau, upole, utu, upendo, heshima na tabia ya kujali kwa yule dada. Vijana wenzengu wife material huja mara moja kumpata tena nimajaliwa.

Kama uliwahi pata wife material kisha ukaleta usela leo unalia kwa uchungu kupoteza bahati dondosha coment yako hapo chini.
Uko sahihi.ujana ndio husababisha yote hayo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Rebeccaaaaaaaa jamani huyu alikiwa wife material mweh mweh mweh ujana umeniponza
 
Back
Top Bottom