Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

naunga mkono hoja
inakaribiana kidogo na tarime
pale kiwira, kuna bucha matata na vindizi sukari vya baridii kama tarime
 
Sio kweli hakuna halmashauri ya wilaya yenye historia ya kuizidi Moshi Vijijini kwa ufaulu wa wanafunzi pamoja na kubanwa kwingi.
Say whaaat!
Go do your research dude!

Moshi wameanza kufaulu baada ya Mchagga Elinewinga kushika wizara ya Elimu na kuanza kujenga shule nyingi kwao Kilimanjaro hadi Mzee Nyerere akawauliza, "mnajenga shule kwani mna walimu ?"

Kabla ya hapo RUNGWE was a pinnacle of excellence. Hili hadi Prof Kabudi alikiri hadharani.

RUNGWE All the way.....🫡
 
Leta data za kuthibitisha una yoyasema. Moshi Shule zimejewangwa na wamisionari wa Kikatoliki na Kilutheri za serikali zilizojengwa baadae ni chache sana. Kule watu wamesoma sana hata kabla ya uhuru .
 
Leta data za kuthibitisha una yoyasema. Moshi Shule zimejewangwa na wamisionari wa Kikatoliki na Kilutheri za serikali zilizojengwa baadae ni chache sana. Kule watu wamesoma sana hata kabla ya uhuru .
Good Lawd! Just listen to yourself! 🤣
 
Hakika u
Tanzania ni nzuri kama viongoz tunawachagua wangewekeza kwenye miundombinu kwa kuangalia resources zilizop duh tungekuwa mbali kimaendeleo lkn kinyume chake wao wanaiba wanaenda kununua apartment Dubai ama south Africa shame upon them
Umenena vyema mkuu
 
Hakika mkuu
 

Nanasi zinauzwa kwa mafungu [emoji23]
Ndizi mbivu za elfu 3 unajaza fuko la jero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…