Tule chapati na kitimoto roast

kula magawani na kujipikia kupi kuna garama kubwa kwa mtu anayeishi mwenyewe ikiwa mgawa ipo karibu
Mgahawani gesi nakaa nayo miaez 6 mafuta lita tano miez 3 af kula nakula kwa hamu mara nying natumia matunda
 
utawaogopesha ma Slay queen wa JF kuja kukutembelea maana umetoa kitu utafikiri ni CHEF wa 3 stars hotel..
 
Sisi kizazi cha matomaso wa enzi za Masihi tutaaminije kwamba ni wewe uliyepika?

Binafsi nimeshindwa kupika chapati wala vitafunwa vingine, labda Kwa kuwa Kijijini kwetu tulizoea kula ugali asubuhi badala ya Chai πŸ€—

By the way, Hongera sana kujua kupika.

Hiyo skills itakusaidia siku waifu akisafiri ama akiwa anaugua
 
Asante sana

Nilijikutaga tu napenda kujua kupika ivyo
 
😁😁
We mwenyewe si unaona mkuu, ila hongera, sijaona kona za chapati.
Bila shaka ulikuwa ukisukuma unazunguka nayo, sio kwa circumference hiyo.
Ahahah asante mkuu
 
Jesus!!!!!! Kumbe anavaa tamaduni ya kiafrika anapika na kukata mauno kabisa? Au kanga imeandikwa " ukila utakula tena?


Haya maneno kanifunza Missy Gf

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… usinigombanishe na familia za watu muone bichwa lake kama donge la chapatiπŸ˜…πŸ˜…
 
Hongera broh......

I second you kwenye chapati napenda chapati sio poa

Ila nashangaa watu wanasema chapati inachukua muda labda uwe unapika za watu wengi lakn km wewe au wawili watatu simple sana

Maji ya vuguvugu..... chumvi kidg, sukarii...... unga

Then balance maji ya baridii uwe nayo au umix ili chapati ukande vzr na iwe rahisi kusukuma...

It's a simple sema chapati na roast la nyama, maini the best to i ama supu

Ila chair fire sio muumini kwa sasa πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…