Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #101
Mgahawani gesi nakaa nayo miaez 6 mafuta lita tano miez 3 af kula nakula kwa hamu mara nying natumia matundakula magawani na kujipikia kupi kuna garama kubwa kwa mtu anayeishi mwenyewe ikiwa mgawa ipo karibu