The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China.
Ni vyema mikataba hiyo 15 tukaletewa na kujua kilichomo ndani yake baada ya kuona baadhi ya hii mikataba ya UAE na kugundua kua imejaa ukakasi mkubwa sana.
Katika nchi inayojulikana Duniani hapa kulalia nchi masikini kwenye Mikataba ni China, sasa kama mikataba ya waarabu iko hivyo wanataka wauziwe bandari, wachina si watataka wauziwe nchi kabisa?
- Tanzania na China zatiliana saini Mikataba 15