Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Mwaka huu hadi miti na mawe yameomba yapige kura ili tu kuziongeza kura za upinzani na ccm isishinde
 
Ukweli uliopo ni chadema na sugu sasa hivi wana hofu iliyopitiliza kuhusu jimbo la mbeya, wana haki ya kuwa na hofu!
Hofu inasababishwa na kipi zaidi kati ya haya?
1.MBUNGE KAPOTEZA SIFA NA MVUTO NA UTENDAJI WAKE HAURIDHISHI
2.UCHAGUZI UTAAMULIWA KWA NGUVU YA DOLA
3.TULIA ANAONEKANA KUWAVUTIA WANA MBEYA KIASI CHA KUTAKA AWE MBUNGE WAO
 
Huyu bibie awe makini hapo Mbeya.
Mbeya wanampigaga mtu 100 kwa 50.
Asije aka menopooz kabla ya muda.
 
Najua tulia katoa misaada mingi sana hapa Mbeya kwa shirika lake la tulia trust kama kugawa t shirt, kuandaa mashindano ya ngoma, kugawa piki piki na hata alichangia milioni 10 soko lilipoungua ili likarabatiwe.

Endapo misaada hii aliitoa kwa nia ya kugombea ubunge basi nampa pole sana.

Sijaona kabisa mtu wa kumtoa Sugu hapa Mbeya, wapiga debe wenyewe wa pale mwanjelwa walipewa t shirt za tulia lakini kwa sugu huwaambii chochote.

licha ya haya yote lakini hapa Mbeya wamejaa wasafwa wengi (sina haja ya kutoa maelezo mengi waliokulia mbeya washanisoma)

Sina lengo la kupotosha, kuchochea, kudanganya au kukatisha tamaa lakini huo ndio ukweli mchungu, Jinsi wana mbeya wanavyomkubali sugu mpaka kufikia hatua kumwita raisi wao sio shughuli ndogo.
 
Kujaribu kushindana kwenye Bongo flava na mmoja kati ya waanzilishi wa Bongo flava huwezi kufanikiwa. Ina maana hakuna strategy labda wagawe jimbo. Yaani watu wanajua mtu kwa jina la Bongo flava "Sugu" wewe ujaribu kujifanya upo huko
Ni kushinda na mvuta bangi!
 



Huyu ndiyo generous katengeneza paypall, Tesla na kapeleka watu kwenye space. Anavuta bangi live sasa wewe unaongelea nini

Mkuu mwambieni Sugu avute, kurikoka na kulipuliza zaidi ili watu wapate barabara.
Tunduma-Igawa is a mess!
Wenzake kina Elon Musk wanavuta , maendeleo yaja.
Sugu anavuta, anaonyesha kidole cha kati bungeni!
1592855233664.jpeg
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Sometimes, having a Ph.D is not an end in itself. Unaweza kuwa outsmarted na mtu wa darasa la saba au form four na hata mwenye diploma kwenye baadhi ya mambo. Be careful Tulia
 
Back
Top Bottom