Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Kamati ya CCM itakuwa imemwingiza chaka maza wa watu, Siasa za Mbeya, Arusha, Kigoma, Tunduma, Tarime, Kilimanjaro si za kufakamia - waweza umbuka vibaya.
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Kwa sisi ma fomu foo mnatudharau sio? Asante
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Umeona hiyo miguu[emoji23][emoji23][emoji23] kama wale ndege tunaowaita "dede" kwa kisukuma
 
Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
View attachment 1485364
Ndo maana wanawake wenye phd wanaongoza kwa kusalitiwa. Mwajuma ndala ndefu elimu yake darasa la 3 B angeamua kulitingisha wowowo hata kama hakujaliwa nalo kamera zoote zingewashwa. Ona mama mwenye phd yake anavyocheza sijui ni mzuka umepanda au nn. Wanambea alamafyale....
 
hahAA, haa you make my day, yaani nimekuja mBio ili nimsambaratishe mleta uzi lakini nimeishia kuchekaa tuu
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Kati ya PHD na hela wewe utachagua nini!
 
Lile libumunda litoto la mama/kula kulala,Li Bia Yetu,halina bando leo? limeshindwa kumkwapua mama yake chenji ya mandazi?
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Tafsiri yako ya elimu inaonesha tatizo kubwa la elimu yetu au uliyopata.
Usinielewe vibaya kwamba nakushambulia ila nimeshangazwa na mtazamo wa mtu mwenye elimu kubwa hatakiwi kujichanganya kwenye jamii (socialize) na kucheza muziki sababu yeye ni msomi.

Hao wakoloni ni wazuri sana katika kuchijichanganya kwenye matukio ya kijamii na kushiriki kwnye michezo na burudani mbalimbali zinazo sindikiza matukio ya kijamiii (social events).

Au tukuwekee video za wajukuu wa wakoloni wanavyo sakata Rhumba (muziki)?
 
Hujanielewa kabisa. Tatizo anafanya hivyo kwa lengo la kuvuta wapiga kura. Angekuwa anafanya kwa burudani wala hakuna noma.
 
Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
View attachment 1485364

Kujaribu kushindana kwenye Bongo flava na mmoja kati ya waanzilishi wa Bongo flava huwezi kufanikiwa. Ina maana hakuna strategy labda wagawe jimbo. Yaani watu wanajua mtu kwa jina la Bongo flava "Sugu" wewe ujaribu kujifanya upo huko
 
Hujanielewa kabisa. Tatizo anafanya hivyo kwa lengo la kuvuta wapiga kura. Angekuwa anafanya kwa burudani wala hakuna noma.
Tatizo ni kwamba sasa ni wakati wa kutafuta kura?
Kama ni hivyyo tatizo ni wakati au mahali? Au Elimu yake?
Waone Obama, Bush na wanasiasa wengine wakicheza muziki (music dance) kwa nyakati tofauti

Pale kulikuwa na tukio na wakati wa tukio kukawekwa burudani ya muziki kisha waliohudhuria wakaona vema wajumuike kwenye burudani.
Tuache kujifunga na kujinyima uhuru kisa elimu au kukwepa kuonekana unatafuta kura. Si dhambi wala aibu kutafuta kura.

Tangu enzi za manguli wa mbinu za kutafuta kura wanasheria wasomi wa kale, warumi kama Marcus Tullius Cicero walikuwa wanaandaa au kushiriki matukio ya kijamii kisha kunywa na kucheza pamoja na wageni wao ili kujiandalia njia nyepesi ya kushinda uchaguzi.
 
Back
Top Bottom