Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Nilipoona hii clip nakumbuka maneno ya Shangazi aliyomwambia Hamisi Kikwapa! Na imagine dunia hii tumebakia mimi (as a man) na yeye tu (Mwanta )Tu!
 
Mie nikienda hata South Afrika tu huwa ninajisikia vibaya sana kuhusu utawala wa CCM, ukiangalia zile barabara na maendeleo kwa ujumla huwa roho inaniuma sana.

Yaani kwetu hata maji tu mji wa Dar hakuna, eti kila mtu achimbe kakisima kake ndio apate maji.

CCM ikiendelea kutawala, bodaboda, mama ntilie na machinga watazidi kuongezeka huku wakiwapongeza CCM kwa kuwaruhusu kufanya biashara zao popote.
 
Yaani nimecheka kama mazri anaruka kama taahira kabisa mtu eti msomi si angekaa chini akafanya hiyo kazi yake tena yenye baraka kuliko hii yenye laana? So alisoma bure kama kaikimbia taaluma yake? Anaruka ruka kama taahira kaona uji wa saa nne
 
Back
Top Bottom