Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Kila ninapoenda ulaya nikatazama maendeleo ya wenzetu, then nikikumbuka wanaotuongoza kwetu; sioni kama tutakuja hata kuwakaribia. Hata tubadirishane mabara.
 
Hugu gudada gukafanye kazi nyingine Moto wa Sugu utamuunguza na kubaki mkaa kama wale jamaa wa Moro waliovamia lori la mafuta.

Siasa za majukwaani zikianza atagaragazwa hataelewa hata mawio na machweo ya jua
Yeye ni mwalimu wa chuo kikuu huko anaweza kutamba dhidi ya Sugu,
lakini kwa siasa za majukwaani hata kama atabebwa na mbeleko ya chuma itayeyuka mbele ya sugu.
 
Hugu gudada[emoji3][emoji3][emoji3] mwagona
 
Mwanamke hakati tako sasa alipewa la nn na muumba, matumizi mabaya ya viungo vya mwili
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Bungeni wanaojiita wasomi huko CCM wote huwategemea wabunge wenye Elimu ndogo kujenga hoja mbalimbali ndipo ujue kuwa wanaojiita wasomi huko CCM wengi walinunua vyeti hawana Taaluma halisi vichwani.
 
Mbeya mkurugenziccm anayo matokeo mfukoni anasubiria tarehe ifike amtangaze huyo mama kinyume na chaguo la wapiga kura ambao wengi wanamkubali Sugu zaidi.
 
Back
Top Bottom