Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Life go zone....
Flip side of the coin, Tulia ni down to earth person! Anainjoi life...
Kibaya zaidi hata akiinjoi life kuna watu wanaumia sana, yaani wanakaribia kupasuka kwa hasira na chuki...hii ni hatari!
😛😛😛Kwamba tulia anazijua Bata😔😔
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Mbaya zaidi atasaidiwa na dola kushinda huo ubunge.
 
Kama hivi anavyo enjoy kwa ushirikina
Life go zone....
Flip side of the coin, Tulia ni down to earth person! Anainjoi life...
Kibaya zaidi hata akiinjoi life kuna watu wanaumia sana, yaani wanakaribia kupasuka kwa hasira na chuki...hii ni hatari!
Screenshot_20190924-085502.jpeg
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Hahaha
 
Back
Top Bottom