Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Tusubiri kwenye sanduku la kura.
Sanduku gani la kura?Unaelewa kuwa hapa Tanzania chama tawala huwa hakitegemei kura kuchukua dola au unajifanya kipofu?
1592575.jpg
JamiiForums32674919.jpg
3456.jpg
5567.jpg
12345.jpg
 
Yaani katika watu waliojidhalilisha kupita kiasi ni Tulia. Anazidiwa hata na Kibajaji?
Unakumbuka ile skendo ya jeneza? Yaani Tulia kwa vituko!
Yap nakumbuka. Yaani anakuwa kama mtoto. Hajui ushindi ni mbinu tu.
 
Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
Kula kwa mama ntilie ndio kafunika? Mkisha mpa kura mta muona kama mnavyo kunywa pombe za kienyeji na Sugu?
Nyie wapiga debe wa Betina acheni kuwa hadaa wana Mbeya. Mtu ambae akiwepo Mbeya ana lala hotelini mta mfnanisha na Sugu?
 
Hii inaitwa hyperbolic , unakuza Jambo kuliko uhalisia wake.
Wewe ndiye unali'underrate' tukio hilo na kuona neno 'hyperbolic' linastahili kupachikwa kwa aliyoandika mleta mada.

Bila shaka wewe umekuja na maana yako tofauti ya kulielezea tukio hilo, kinyume cha alivyoliona aliyelileta hapa.
 
Back
Top Bottom