Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kwa hiyo atamshinda sugu Rais wa Mbeya kwa hiyo dance ya kanyagakanyaga?! 🤣🤣🤣Sugu hana Chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo atamshinda sugu Rais wa Mbeya kwa hiyo dance ya kanyagakanyaga?! 🤣🤣🤣Sugu hana Chake
Noma sana bro. Ile ya kula kwa mama ntilie ndo ilinichekesha sanaNacheka kwa dharau, Tulia anaidhalilisha PhD yake. Mara abebe majeneza, mara awaombe mama lishe aoshe masufuria yao, she is more than fake
Pale facult ya law enzi zile kwenye events alikuwa hachezi kabisa musics.Aliyekwambia PhD holder haruhusiwi kucheza mziki ni nani? Poor mind!
Niwezeshe basi.Hata wewe nikikuwezesha unaweza sanaaaa
Na hizo paper muwe mna publish ziwe zinasomwa. Tanzania ni shamba la fake degrees nyingi mno,Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Kule mnataka wenye chogo screenFlat screen hawezi kuwa Mbunge hata agawe papuchi mbeya nzima.
Nilipoona hiyo title, halafu nikaangalia jina la mleta uzi, nilijua tu kwamba hapa ipo namna. Na kweli. G Sam huniangushagi!!Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787].Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
Yaani hapo mkuu umenena. Sugu anaongea sense kuliko Profesa Kabudi? Yaani ni hatari!Na hizo paper muwe mna publish ziwe zinasomwa. Tanzania ni shamba la fake degrees nyingi mno,
unashangaa Sugu sometimes speaks sense than Tulia
Rais wa Mbeya??? Labda wa wahuni bandiko hili lipo na comment yako ipo tutafukua makaburi baada ya uchaguziKwa hiyo atamshinda sugu rais wa mbeya kwa hiyo dance ya kanyagakanyaga?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani katika watu waliojidhalilisha kupita kiasi ni Tulia. Anazidiwa hata na Kibajaji?Alipokuwa akifundisha UDSM alikuwa hamfahamu hata mondi.
Life is too short... youth doesnt come twice! Vyeo tupa kule, enjoy yourself! Safi sana Tulia...Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Lajidhalilisha kitu gani hapo? Unataka sema asijiinjoi kisa ni mbunge? Na hapo inaonekana kabisa hakuwa ktk shughuli ya kisiasa bali ya kifamilia au ya na marafiki zake...Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Nimeshangaa sana, huu ni wivu uliopitiliza.Yaani kucheza muziki ni kujidharirisha?
Pale facult ya law enzi zile kwenye events alikuwa hachezi kabisa musics.
Tatizo nini sasa hivi kumfahamu? Dada una wivu sana..Alipokuwa akifundisha UDSM alikuwa hamfahamu hata mondi.