Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

Sawa Kamanda, kwani mwaka 2015 ndio 2020 ? yaani ungali bado umeganda 2015 nilidhani utanipa kitu cha kushika kumbe umelewa na mafuriko ya Lowasa .. subiri uwone 28 Oct hutoamini macho yako, yaani yule mzee wa kufokafoka moto chini sijiu upuuzi gani ukamlinganishe na mwanadada alokaa darasani akaelewa na akaenda mbali hadi kuwaelewesha ndugu zetu, unaleta mzaha sana wewe aiseee. Sugu anachinjwa mapema mno, shes to good to be comparable na mzee wa kufokafoka .
 
Tulia Akson siyo msomi atakuwa aliiba mitihani ama kununua vyeti tu akajidai ni Msomi

Tulia msomi kweli na kichwani yuko vizuri sana...utafiti wake PhD aliufanya kukamilisha vema kabisa na ndani ya wakati
 
Kwa mbeya hata bila kampeni sugu anashinda kwa kishindo, hapa penyewe tu napoishi mbeya mtaa wangu hata wazee wapo na sugu vijana hata wale waliopwa t shirt na kofia za tulia wanampigia kura tulia
 
Darasa gani kakaa huyo dada? Darasa la kununua vyeti? Sugu hachinjwi mapema sahau hiyo mungu yupo atawaumbua na mbinu zenu za kishetani
 
Darasa gani kakaa huyo dada? Darasa la kununua vyeti? Sugu hachinjwi mapema sahau hiyo mungu yupo atawaumbua na mbinu zenu za kishetani
Na nyie kila mtu akiwa amewashinda kielimu kanunua vyeti, mko na shida gani nyie ni wivu wa kike tu ama kuna kingine ? kama ni rahisi mwambie na Sugu akanunue basi .. ila Kamanda jitaarishe kisaikolojia, ndugu yako mzee wa motochini tunamrudisha studio ndio ishu anayoweza haya ya ubunge atuwachie watu na akili zao.
 
Phd holder za kuiba mitihani za kununua vyeti za kukariri maswali majibu ufaulu mitihani wamezikataa hata kule kwa Mwakyembe, degree nne bila Utu bila busara bila ubinadamu hazina maana yeyote, kule Bungeni wabunge darasa la saba akina Kibajaji, Musukuma huongea kuliko phd holder wa humo CCM ambao wengi humiliki vyeti vikubwa pasipo na Taaluma kichwani
 
Tulia Akson atakuwa mbunge kwa njia haramu za kupora jimbo lakini kwa kura halali hawezi kuwa mbunge kamwe
Mwaka 2020 hatukubali kuporwa ushindi. Damu itamwagika ili liwe fundisho kwa CCM. Kwa nini mnatulazimishia kigagula hicho chenye sura kama kipo kilioni?
 
Wivu wa kike . Pole sana kamanda
 
Wivu wa kike . Pole sana kamanda
Wivu wa kike unao wewe binafsi usiyejua kutafakari kuwa Taaluma sahihi ni kuwa na busara utu na hekima, kuwa na phd holder una roho mbaya roho ya kichawi vinasaidia nini?
 
Aisee mimi CCM ila ukweli kwa majimbo ya Mbeya, Arusha na Moshi mjini...uchaguzi ukiwa wa haki na huru basi CCM tuandike maumivu tu
Hivi huyu Sugu ndiye aliyeongoza kupigiwa kura na wananchi kuliko wabunge wote wa CCM na Upinzani. Sugu alipata kura 100,000 kati ya kura 166,000 zilizopigwa kwa Jimbo la Mbeya Mjini Mwaka 2015.

Sasa hao watu 100,000 pengine 90% bado wako hai Mbeya, utawashawishi vipi wampe Tulia Ackson kura? Kitu gani kimetokea mpaka wamchukie Sugu?

Nawalaumu ma-strategist wa Tulia si watu makini. Ilibidi waangalie beyond matakwa ya Tulia na kushauri vizuri. Otherwise wanamlia hela zake tu
 
Wewe ni mmojawapo ya UVCCM aliowazungumzia Sukule M.Gambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…