Hakuna ubaya kwa mtu yoyote to aim higher, kitu cha muhimu ni kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni.
Huyu ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, kiukweli kwenye hili, mwalimu wangu amechemsha!. Alipaswa ajiuzulu kwanza u naibu spika ndipo agombee u spika!. Mimi huu nimeuita ubatili
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...
This is not right
Sio haki yake na sheria inazuia, ila wanaopaswa kumzuia Tulia, wamenyamazia!.
Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.
P