Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Hakuna ubaya kwa mtu yoyote to aim higher, kitu cha muhimu ni kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni.

Huyu ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, kiukweli kwenye hili, mwalimu wangu amechemsha!. Alipaswa ajiuzulu kwanza u naibu spika ndipo agombee u spika!. Mimi huu nimeuita ubatili

This is not right

Sio haki yake na sheria inazuia, ila wanaopaswa kumzuia Tulia, wamenyamazia!.

Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.
P
Sema wewe Pascal. Mwalimu wako LW 101 anakuangusha. Nini hiki anachokionyesha? Kama kweli anadhani anauwezo, ushawishi na maadili atangaze kwanza kuachia nafasi yake ya sasa
 
Kwani sio Sheria hiyo?
Haina maana kwamba ukichukua fomu ya kugombea nafasi nyingine umejiuzulu uliyokuwa nayo automatically?
 
Tukiacha unafiki kwanamna spika anavyolipwa kupitiliza na maisha yalivyo magumu hukunje na alivyopewa nguvu kujiamulia atakavyo hakuna namna MTU ataacha kutamani hikicheo.

Ilipaswa kuangaliwa upya namna wanasiasa wanavyojilimbikizia malipo makuubwa bila aibu huku wavujajasho wengine wakilipwa mishahara isiyotosha hata kumlisha mbwa kwamwezi...

Nionavyo wanavyojilipa nisawa na uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka!!

Tusikubali kuwa mazuzu,katiba mpya no muhimu mmmmno
Tena ikapitishwa sheria ya kinga dhidi ya kushtakiwa kwa mambo aliyoyafanya akiwa kwenye Uspika!!!! Very interesting. Hakika tuliwezwa na watawala
 
Kwani sio Sheria hiyo?
Haina maana kwamba ukichukua fomu ya kugombea nafasi nyingine umejiuzulu uliyokuwa nayo automatically?

Hakuna mambo ya automatically hapo bali kuna mambo ya manually, it is just simple; you denounce the present post and you aspire another post.---- huyo Sister ni gutton of Madaraka.
 
Labda wanasubiri kwenye uteuzi ili wamuengue.
Analeta ujanja. Kwenye uteuzi akienguliwa anarudi fasta kwenye nafasi yake ya Unaibu kimyakimyaaaa!

Ilitakiwa mtu mwenye ujasiri ndani ya CCM atangaze tu kua kwa kitendo cha Naibu kulipia na kuchukua fomu ya Uspika automatikale nafsi ya unaibu nayo ipo wazi. Wamfahamishe Katibu wa Bunge atangaze kua kuna uchaguzi wa Naibu Spika pia

Kama ataona ni maadili kufanya hivyo basi Tulia achukue fomu zote mbili, yaani ya Unaibu na Uspika pindi nafasi yake ya sasa itakapokua wazi
 
Mbona sawa tu , mbona Kuna watumishi wengi wa umma, unakuta anafanya kazi sehemu Fulani ,lakini kila siku unamuona anazunguka kufanya interview taasisi nyingine.
 
Huoni soni ku declare kwamba huyo alikuwa Mwalimu wako??!!, ulifundishwa na Caput??!!🤣
Hapana hakufundishwa na kaput hapana she is bright, madaraka ndio yamefanya akili zikahamia tumboni.
 
Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.
👍👍👍👍👍
Hii ni point ya msingi sana. Nahis tatzo lilianzia hapa
 
Analeta ujanja. Kwenye uteuzi akienguliwa anarudi fasta kwenye nafasi yake ya Unaibu kimyakimyaaaa!

Ilitakiwa mtu mwenye ujasiri ndani ya CCM atangaze tu kua kwa kitendo cha Naibu kulipia na kuchukua fomu ya Uspika automatikale nafsi ya unaibu nayo ipo wazi. Wamfahamishe Katibu wa Bunge atangaze kua kuna uchaguzi wa Naibu Spika pia

Kama ataona ni maadili kufanya hivyo basi Tulia achukue fomu zote mbili, yaani ya Unaibu na Uspika pindi nafasi yake ya sasa itakapokua wazi
“Kama ataona ni maadili kufanya hivyo basi Tulia achukue fomu zote mbili, yaani ya Unaibu na Uspika pindi nafasi yake ya sasa itakapokua wazi”. - Hiyo ndiyo tamaa yenyewe.
 
Mbona sawa tu , mbona Kuna watumishi wengi wa umma, unakuta anafanya kazi sehemu Fulani ,lakini kila siku unamuona anazunguka kufanya interview taasisi nyingine.
Kama ni mtumishi wa umma huruhusiwi kufanya interview yeyote iwe ya ndani au nje hadi uwe na ruhusa ya mwajiri wako.
 
Back
Top Bottom