Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

Ni hatari sn
 
Kibwengo ndo umemaliza hapa kuandika ,

Kazi sana[emoji1787][emoji1787]
 
Kwani huko Sudan, Mali, Guinea, Zimbabwe nk ambapo jeshi limepindua hao marais hawakuwa ma-amiri jeshi wakuu. Unaongea utafikiri umenyweshwa wanzuki.
 
Mie kwa upande wangu nina imani CCM ITAKUJA KIDONDOKA
 
Kutamka ni suala moja ila kwenye practical ni ishu tofauti,ndio maana Trump alikuwa anawatimua na hakuna sehemu alivunja Katiba licha ya kuapa kwao huko ulikosema lakini walikuwa wateule wa Rais.
Spika wa bunge hapaswi kuwa mteule wa Rais
 
Kila siku huwa nawaambia watu hapa ndani. Rais hayuko level sawa na spika au Jaji Mkuu.
Bungeni likiamua kumtoa Rais linaweza? Rais anaweza kulilazimisha Bunge kufanya kitu kikatiba? (sio kuwatisha wabunge kupitia chama)
 
Kwahi ilivyo ataweza chukua fomu bila kuambiwa. Ataambiwa chuka fomu au baki hapo hapo.
 
Acha porojo weka hapa kifungu ambacho kinasema SPIKA na RAIS ni LEVEL MOJA KATIKA NCHI
 
Tulia amenishangaza na kunistua sana.
Kile kiwango cha chini kabisa cha heshima ya udaktari wa sheria.
Kuna udaktari wa heshima wa sheria kwenye suala zima la njaa! 😁😁😁 Ule usemi unaosema njaa haina baunsa, unatakiwa kuuchukulia kwa uzito sana.

Kwa sasa akili yake yote ameihamishia tumboni kama makada wenzake. Kule kichwani amebakiza akili kidogo tu kwa ajili ya kutatulia mahitaji yake muhimu ya kila siku.
 
Ebu acheni kujipa matumaini hasi!

Yaani mnategemea bunge la CCM likapingane na serikali ya CCM inayoongozwa na mwenyekiti wa CCM πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Nilishawahi kulisemea hili:
Tanzania na mfumo wa unadhimu wa vyama bungeni
 
Kwani tuna Marais wangapi ndani ya nchi hii? Ukilijibu hilo Basi utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Ni dhahiri kuwa katiba ya mwaka 77 ambayo wengi wa watanzania walikuwa hawajazaliwa ina mapungufu mengi, ni vema kabisa ikafanyiwa marekebisho. Watawala waliangalie hili, sio kwa manufaa yao..bali ya taifa!!
 
Ili uwepo, unatakiwa sehemu ya akili uiondoe, ndio utadumu, kama unaenda kuongoza Bunge ambalo unalishusha hadhi, sijui, katiba inatamka wazi kuwa kutakuwa na mihimili mitatu yenye hadhi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…