Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Katiba ni nzuri haina tatizo lolote,, shida kubwa uliyonayo ni hauna cheo tena,,Hebu tu husishanishe alichokiongea wakati Mama kiguu anaapisha na PHd sijui ya sheria ipi, maana tulitegea ajastfy vyema phd yake pale kwa kufafanua vyema matakwa ya Katiba hii mbovu tulonayo juu ya Separation of Powers , yeye Kaenda kuchimbia mhimili mmoja mingine kaacha ielee na kupeperushwa na upepo,
Afu kalivyo kaafara sasa kanaenda kubeba form kugombea kwenye huohuo mhimili ambao kanajua hauna nguvu, so tutegemee nini ikitokea kamepewa huo uspika , Jibu la hapo ni KUTOA YOOOTEE
Kwanini hata msiimbe kama kina Diamond ali kiba harmonies, ili mpate hela kwani lazima uajiriwe serikalini?
Au uwe mcheza mpira kama kina khalfan ngasa, etc,
Unapata hela zako hazina mawazo, wala ulalamishi wa kutwa mitandaoni,,
Kama muzic au mpira huwezi,, cheza hata boxing,, mbona vijana wanaishi tu?
Sio lazima upate cheo, kama vipi njoo tulime mpunga huku mpanda, no stress, no nothing... [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app