Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

Wabunge angalieni wagombea wapya achaneni na huyu tulia na hafai kukalia hicho kiti chagueni mtu kwenye msimamo na asiyeyumbishwa na muhimili wowote.
Bungeni wabunge wengi ni CCM.

Na mgombea atakae tokana na CCM ni mmoja tu.

Hawatakuwa na option ya kumchagua wamtakae bali watakaepelekewa.

Huo ushari wakuangalia wagombea wapya (in case watapelekewa huyo Tulia) sijui Kama unaweza kufanya kazi.
 
Makamba ndie pekee alibaki kashika mdomo.
Ila CCM ni wanafiki sn asee.Hivi ayubu akiangalia jinsi makamu wake alivyokuwa anamlamba Rais vile si anaweza kumeza vidonge kbs? Jamaa huko aliko anaweza kutamani huu mwaka uishe maana si Kwa kugeukwa huku na sisiem wenzake[emoji28]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mnalalamika nyie mabavicha?

Wakati mnashangilia Hangaya alipolinajisi bunge ili kumkomoa ndugai mlitegemea nini?
 
Hii nchi yetu haina viongozi.

Walau January Makamba ameonyesha mshangao kwa matamshi hayo ya Naibu Spika ila sasa sijui kama atasalimika maana Mama nae anapenda wapiga makofi.
Ha ha ha, safari hii mmepatikana kweli,, yaani miaka 9,mswahili mnae,, vumilieni tu jamani siasa ni kuvumilia,, najua wengine uchungu ni sababu miaka 9,wanaona ni mbali watakuwa wameshazeeka,,
Uongozi ni kijiti, kupokezana siyo ishu, acheni roho mbaya[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu naibu wa spika aliyoyasema Leo Ni kwa mujibu wa katiba au yeye mwenyewe?
Ni kweli, Rais anateua judge mkuu,,, spika huwezi kuongoza bila kukubaliana na Rais hata akichaguliwa, lazima awasilishe kwa Rais hesabu zake za Mali anazomiliki, na uthibitisho kuwa kweli anayo maadili ya kuwa spika,,,
Huo ndo ukweli, mhimili mmoja umejichimbia, zaidi,,
Hatuwezi kuwa na mafahari watatu ndani ya nchi moja hii ni africa, ,itakuwa fujo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mnalalamika nyie mabavicha?

Wakati mnashangilia Hangaya alipolinajisi bunge ili kumkomoa ndugai mlitegemea nini?
Wakati Ndugai na nyinyi wengine
mnapinga katiba mpya, mlitarajia nini?

Ukipanda bangi huwezi vuna mahindi.
 
Ha ha ha, safari hii mmepatikana kweli,, yaani miaka 9,mswahili mnae,, vumilieni tu jamani siasa ni kuvumilia,, najua wengine uchungu ni sababu miaka 9,wanaona ni mbali watakuwa wameshazeeka,,
Uongozi ni kijiti, kupokezana siyo ishu, acheni roho mbaya[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Inaweza isifike hiyo 9
 
... ana PhD ya sheria na amefundisha sana udsm the best university in the country!

Hebu tu husishanishe alichokiongea wakati Mama kiguu anaapisha na PHd sijui ya sheria ipi, maana tulitegea ajastfy vyema phd yake pale kwa kufafanua vyema matakwa ya Katiba hii mbovu tulonayo juu ya Separation of Powers , yeye Kaenda kuchimbia mhimili mmoja mingine kaacha ielee na kupeperushwa na upepo,

Afu kalivyo kaafara sasa kanaenda kubeba form kugombea kwenye huohuo mhimili ambao kanajua hauna nguvu, so tutegemee nini ikitokea kamepewa huo uspika , Jibu la hapo ni KUTOA YOOOTEE
 
Back
Top Bottom