Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hahahaaa!Mbwa akimuona chatu huwa anaangua kilio na kujipeleka mwenyewe kwenye mdomo wa chatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!Mbwa akimuona chatu huwa anaangua kilio na kujipeleka mwenyewe kwenye mdomo wa chatu.
Bungeni wabunge wengi ni CCM.Wabunge angalieni wagombea wapya achaneni na huyu tulia na hafai kukalia hicho kiti chagueni mtu kwenye msimamo na asiyeyumbishwa na muhimili wowote.
Makamba ndie pekee alibaki kashika mdomo.Yani nilipomsikia anaongea hii kauli alafu watu wakapiga makofi nikasema basi tunaelekea kupigwa mnada
Kuna watu wanajua kujipendekeza asee,Hadi inachefua
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ila CCM ni wanafiki sn asee.Hivi ayubu akiangalia jinsi makamu wake alivyokuwa anamlamba Rais vile si anaweza kumeza vidonge kbs? Jamaa huko aliko anaweza kutamani huu mwaka uishe maana si Kwa kugeukwa huku na sisiem wenzake[emoji28]Makamba ndie pekee alibaki kashika mdomo.
Ha ha ha, safari hii mmepatikana kweli,, yaani miaka 9,mswahili mnae,, vumilieni tu jamani siasa ni kuvumilia,, najua wengine uchungu ni sababu miaka 9,wanaona ni mbali watakuwa wameshazeeka,,Hii nchi yetu haina viongozi.
Walau January Makamba ameonyesha mshangao kwa matamshi hayo ya Naibu Spika ila sasa sijui kama atasalimika maana Mama nae anapenda wapiga makofi.
Ni kweli, Rais anateua judge mkuu,,, spika huwezi kuongoza bila kukubaliana na Rais hata akichaguliwa, lazima awasilishe kwa Rais hesabu zake za Mali anazomiliki, na uthibitisho kuwa kweli anayo maadili ya kuwa spika,,,Hivi huyu naibu wa spika aliyoyasema Leo Ni kwa mujibu wa katiba au yeye mwenyewe?
Mbwa akimuona chatu huwa anaangua kilio na kujipeleka mwenyewe kwenye mdomo wa chatu.
Wakati Ndugai na nyinyi wengineMnalalamika nyie mabavicha?
Wakati mnashangilia Hangaya alipolinajisi bunge ili kumkomoa ndugai mlitegemea nini?
Kama Ndugai alishambuliwa na kutakiwa kujiuzulu kwa kusema nchi itakuja kupigwa mnada, basi Tulia ndio anapaswa kujiuzulu kwa kauli hii:
View attachment 2076322
Pia tuone tofauti iliyopo kati yetu na wenzetu wakenya:
View attachment 2076324
... kwa niaba ya tumbo lake.Hivi huyu naibu wa spika aliyoyasema Leo Ni kwa mujibu wa katiba au yeye mwenyewe?
... ana PhD ya sheria na amefundisha sana udsm the best university in the country!Hivi huyu ana Dr ya PHD au ni biologist(Dkt) ?
PhD ya sheria tena kali sanaHivi huyu ana Dr ya PHD au ni biologist(Dkt) ?
Kali kwenye makaratasi tu.PhD ya sheria tena kali sana
Inaweza isifike hiyo 9Ha ha ha, safari hii mmepatikana kweli,, yaani miaka 9,mswahili mnae,, vumilieni tu jamani siasa ni kuvumilia,, najua wengine uchungu ni sababu miaka 9,wanaona ni mbali watakuwa wameshazeeka,,
Uongozi ni kijiti, kupokezana siyo ishu, acheni roho mbaya[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kali kwenye makaratasi tu.
... ana PhD ya sheria na amefundisha sana udsm the best university in the country!
So?,, Kila kitu ni kudra ya mnyazi mungu[emoji847][emoji847],Inaweza isifike hiyo 9