Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Wabongo mkiona mwenzenu anaongea kiingereza vizuri mnaona anaakili sana. Hamuangalii kilichoongelewa na namna kilivyoongelewa.

Binafsi hata kazini kwangu naonekana genius sana maana ninajua vizuri Kiingereza.

Bongo raha sana
Issue ni substance sio lugha, mbona netanyahu au trump wanaongea kiingereza ila wote tunaona ni wajinga tu
 
Huyu dada yuko vizuri sana ila tamaa ya pesa inawafanya waingie kwenye siasa matokeo yake wanatolewa nje ya mstari na kuwafanya wadharaulike na kuonekana ni wapuuzi kama wapuuzi wengine...
 
Hah hah amepanic sana, sijawahi kuona mwanasiasa ktk youtube, online media na TV akiongea kwa jabza kiasi hiki.

Hii clip ita trend sana duniani kote. Alizoea kuziba midomo watu Mbeya, Dodoma, Dar es Salaam n.k yaani nyumbani Tanzania.

Sana anakumbana na ulimwengu halisi. Lazima achokonolewe kwa kuangaliwa mienendo yake, hata jinsi bunge la chama kimoja linavyoendeshwa Dodoma.

Chaguzi za TAMISEMI, uchaguzi mkuu 2025 watamuuliza wabunge wamepatikanaje kwa mfumo mbovu wa TAMISEMI ya mkwe, mchakato mzima unaonekana siyo huru wala wa haki n.k

Bado balozi namba moja wa Tanzania aliye rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na taasisi yake ijitayarishe kuhojiwa wakienda zile safari nyingi ngambo.

Mtandao huu wa JamiiForums, clip zilizopo YouTube n.k unasomwa kwa google translator, hakuna pa kujificha. Kuhojiwa kuhusu mchakato mzima wa uchaguzi serikali za mitaa TAMISEMI 2024 kaa la moto, wajirekebeshe ama sivyo ya Dr. Tulia Ackson watamuibuka Commonwealth, UN, EU, AU, SADC n.k

View: https://m.youtube.com/watch?v=VQzcl1p-fkE&t=24s
 
Very smart upstairs !! She has well organized the key point to the concerning matter , I like the way she articulated and presented the answer is the meaning of the word "smart upstairs" changed its meaning from the dictionary?
 
Tulia ndani ya Bunge lisilopenda uchawa.
 
Very smart upstairs !! She has well organized the key point to the concerning matter , I like the way she articulated and presented the answer .
Do the meaning of the word "smart upstairs" changed its meaning from the dictionary?
 
Anataka kuleta ubabe wa kuropoka kwa hasira mbele ya wazungu kama yuko na wana ccm wenzake πŸ€”πŸ€”
 

African Inter-Parliamentary President Verbally Attacked By The West For Putin Meeting


View: https://m.youtube.com/watch?v=3CigHmba6wsInter-Parliamentary Union President (IPU) Tulia Ackson who hails from the east African country of Tanzania, called for members to treat her with 'dignity' during a heated meeting of the Assembly in Geneva on Monday. This Comes after racist and disrespectful attacks by Western countries backing Ukraine .African Inter-Parliamentary President Verbally Attacked By The West For Putin Meeting β€’ African Inter-Parliame...

Source : 2Nacheki
 
Tulia BOMAYEE
 
Maskini! adrenalin zinamwagika hovyo!! ataanguka kifafa huyu mazeri! asubiri impeachment nyambafu hapo sio bongolala parliament! stupid
 
Anataka kuleta ubabe wa kuroka kwa hasira mbele ya wazungu kama yuko na wana ccm wenzake πŸ€”πŸ€”

Tufurike kule Youtube Source : 2Nacheki kutoa comments kwa kiingereza kilichonyooka kuhusu bunge analoongoza Dr. Tulia Ackson Dodoma kukataa kujadili utekaji, upotezwaji na mauaji ya makada wa upinzani Tanzania kwa Bunge lake kutengeza ushoga na serikali kufukia matukio yaki monster ( jitu katili).
 
Huyo mama kujieleza yuko vzr sana, ila anaelement za kufanya upendeleo , na wazungu huwa hawapendi kuwa hypocrate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…