Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Nilijua MMEMKWA mtapinga tuDuh kingereza gani hapo tena Mzee, mbona cha kawaida sana ambacho sidhani kama kinalingana hata na ukubwa wa hiyo position.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua MMEMKWA mtapinga tuDuh kingereza gani hapo tena Mzee, mbona cha kawaida sana ambacho sidhani kama kinalingana hata na ukubwa wa hiyo position.
Yuko sahihi Sana na kawajibu sawa sawia.She speaks very claer english…but she should learn to have self control ,i see nothing with the question adressed to her…!
She is short tempared her self …there was no reasons for that and it was trap question and white man wanted to see how calm she is but she missed that point!!
Hata kuquote umekosea.msinionee mimi kwa sababu I come from a colonized country"
Dr Tulia ameongea kwa busara sana na waliouliza maswali ni mazwazwa haswa , Mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU haombi ruhusa kwa kokote tkutembelea wajumbe? pili mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU alishatembelea Israel na Gaza kabla ? Ningekuwa mimi ningemtukana kidogo huyu beberu kuwa aende library tafute hata magazeti ya siasa halafu aje kuanza kuuliza maswali , Mwisho kawachana kidogo japo sikupenda alivyosema i came from such countries ? yaani Africa poor countries sisi ni matajiri sana tulioibiwa tu na kutokiongoza vizuriHuyu ajuza amezoea bunge la akina Kibajaji amekutana na wanaume wa shoka kule hakuna kusifia ujinga ujinga na kupiga makofi, watamshughulikia na alivyo na sura mbaya kama roho ake
Kwa ukomavu zaidi angetoa majibu hayo tena kwa kifupi sana na kutoa references!Hakuna ni kuwapotezea watu muda ndio maana ka wa refer majibu ya huko nyuma
Ujue kuna wengine walikuwa wanayajua ya huko nyuma aliyojibu ingekuwa wastage of time.kwa majority wanaojua alichoongea huko nyuma .
Kille sio kikao cha uswahilini unaanza kama nilivyosema juzi narudia tena yote niliyosema watu wengine wangeondoka zao kikaoni
anajitahidi kwa kweliwatanzania acheni chuki zenu mbona kajieleza vizuri sana huyu dada yuko vizuri sana aisee
Umetoa pongezi za kipuuzi bwana; tukwambie ukweli tu. Yaani umsifie PhD holder tena kasoma Uingereza kwa kuongea Kingereza? Msifie kwa uwezo wa kujenga hoja, kujibu maswali kwa ufasaha na kutokua biased sio kuongea Kingereza. Wazungu huaga wanajiona wao NDIO binadamu na sister kaweza kuwamudu kwenye eneo hilo, kawauliza kuhusu Sudan, DRC, Gaza, Israel, Yemen etc. Yaani aliwasoma kwanza, I mean motive behind the question asked; kaenda nao ki ulalo ulalo. Hapo kaweza sana binti Mwaisa.Toka akiwa mwalimu wangu wa Sheria, na hadi sasa, ninaukubali uwezo wake wa kujieleza na kuzungumza Kiingereza kwa umahiri kabisa.
Hongera sana (Mwaisa) Tulia Ackson Mwansasu (LL.B., LL.M., PhD)
Kusoma ni swala moja (ata kuelewa majukumu) ya nafasi yako. Ila kwenye international arena (even diplomatic professional setting) communication etiquette ought to be adhered without displaying emotions.Umetoa pongezi za kipuuzi bwana; tukwambie ukweli tu. Yaani umsifie PhD holder tena kasoma Uingereza kwa kuongea Kingereza? Msifie kwa uwezo wa kujenga hoja, kujibu maswali kwa ufasaha na kutokua biased sio kuongea Kingereza. Wazungu huaga wanajiona wao NDIO binadamu na sister kaweza kuwamudu kwenye eneo hilo, kawauliza kuhusu Sudan, DRC, Gaza, Israel, Yemen etc. Yaani aliwasoma kwanza, I mean motive behind the question asked; kaenda nao ki ulalo ulalo. Hapo kaweza sana binti Mwaisa.
Ambacho sikielewi kwake na kwa wataalamu wengine ambao ni pro CCM; why wakiwaga nje ya nchi elimu zao zinaonekana lakini wakiwa Tanzania huwatofautishi na sisi wa elimu za hapa na pale?🤔😏
Mtu unafikra za kutawaliwa tawaliwa, unafaa kukaa msituni usikutane na ustaarabu duniani na kujiamini.Namshauri dada Yako asilete habari za Bunge la Tanzania huko Kwa Wazungu
Tulia tunaomba utulie na msimamo wako ,pumbavu hao wasikuyumbisheRais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024.
Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi wa Urusi, Vladimir Putin, na aliuliza ikiwa maazimio ya IPU kuhusu "uchokozi wa Urusi" yalijadiliwa.
"Nataka sote tukumbuke kuwa hili lilitokea siku chache tu baada ya makombora ya Urusi kuharibu hospitali maarufu ya watoto huko Kiev," alisema Gerasimov, huku mwakilishi wa Canada pia akiunga mkono wito wa majibu.
Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Gerasimov alijaribu mara kadhaa kumkatiza na kuchukua tena nafasi ya kuzungumza, kabla ya Tulia kumwambia: "Umeshazungumza, ulipata nafasi ya kuzungumza hapa. Nipe, niachie muda kwanza kulihutubia baraza kuu, nijibu masuala yaliyotolewa kisha turudi kwenye ajenda."
Ziara hiyo, aliendelea kusema, ilipaswa kuanza na Ukraine. "Ukraine ilijibu siku tuliyokuwa tayari kuwatembelea, [kwamba] Bw. Zelensky na Spika wangekuwa New York kwa ajili ya mkutano wa NATO. Ningewazuia? Hapana, isingekuwa busara, na kwa hali yoyote sina mamlaka hayo," Dkt. Tulia aliendelea kusema.
Pia Dkt. Tulia aliongeza kuwa hakuna atakayemzuia kuhudhuria Mkutano wa BRICS wiki ijayo huko Urusi.
Pia, soma:
Mkuu nilitegemea utampongeza Dada yetuMy Take
Kuwa tempared na Unaongea kizungu hakuleti ukakasi kama kwa Kiswahili.
Tulia ajifunze kuzuia hasira zake vinginevyo atakuja kupayuka kubwa kuliko 🤣🤣🤣🤣
Mkuu viongozi wehu aupo chadema tuh hata uko ulayaDr Tulia ameongea kwa busara sana na waliouliza maswali ni mazwazwa haswa , Mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU haombi ruhusa kwa kokote tkutembelea wajumbe? pili mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU alishatembelea Israel na Gaza kabla ? Ningekuwa mimi ningemtukana kidogo huyu beberu kuwa aende library tafute hata magazeti ya siasa halafu aje kuanza kuuliza maswali , Mwisho kawachana kidogo japo sikupenda alivyosema i came from such countries ? yaani Africa poor countries sisi ni matajiri sana tulioibiwa tu na kutokiongoza vizuri
Ukraine kipondo cha kujitakia. Swali la kijinga sanaNi swali la msingi kabisa kwa sababu Ukraine inaendelea kuls kipondo cha Putin bila hatia.