Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

aliulizwa maswali alipaswa ajibu maswali na sio kutaka kujitetea kwasababu ametoka Africa, wauliza maswali wanataka majibu, angeishia kujibu technically na sio kuonyesha udhaifu na mipasho waliozoe kuwapa CDM.

Nafasi ni kubwa kuliko yeye.
Mbona amejibu kuwa alishajibu vikao vya nyuma wewe vipi? Ukitakq aabze kueleza yote aliyojibu vikao vya nyuma?
 
Kaswali kamoja tuu kamemchanganya nusura apigine na meza😂
Chadema na.siasa za.kimataifa wapu na wapi nyie ongeleeni vimaandamano koko vya kuanzia stendi za daladala na kuishia soko mjinga ya kimataifa waachieni akina Dk Tulia
 
..maswali ya kawaida kabisa, na kama kiongozi lazima uyategemee.

..sasa Tulia amepandwa hasira kwasababu ya mazoea mabaya ya kutokuulizwa maswali, au kubinya maswali, iliyotoka nayo ktk bunge la Tanzania.

..katika bunge la Tanzania Spika TULIA ni MUNGU-MTU, lakini ktk bunge la dunia ni SPIKA.
Kama utaratibu wa IPU ni maswali kuelekezwa kwa Spika, basi akae mkao wa ku - panic mara kwa mara. Kilichomtokea sasa ni cha mtoto, ajiandae kukabiliana na kulipia makosa yake ya Dodoma na Bunge lake la ki - CCM...

By the way swali lilitaka ajibu amepata wapi mandate ya kufanya hicho alichofanya. Obvious, msingi wa majibu ya swali hilo yalipaswa kutoka kwenye sheria, kanuni na taratibu za Bunge la IPU....

Surprisingly, yeye aka panic, akakosa utulivu, akahisi amedharauliwa kwa sababu tu swali limeulizwa na mzungu. Na kwa sababu hii, mama yetu huyu akaanza kuomba heshima badala ya kuonesha weledi, hekima na ufahamu wake hata astahili hiyo nafasi yake. Hii pekee ndiyo ingeweza kumpa hiyo heshima anayoitaka...

CCM na Tulia Ackson hawajui kuwa Respect is not asked, rather it is earned through professionalism and hard work...

Bahati mbaya chawa wengi wa CCM hawajui hii kitu. Wanadhani polisi au TISS watamsaidia Tulia wao kumpa hiyo heshima kwenye bakuri au kisahani huko IPU...!

Ni kwa sababu hii, hata jibu la swali aliloulizwa likawa so vague na kukosa professionalism ndani yake...

"kwani fulani aliyefanya hivi kama niivyofanya mimi alipataga wapi mandate?"

Definitely, swali hili toka Ukraine lilikuwa la mtego kupima intelligence yake....

Bahati mbaya hakuona huo mtego. Akaingia mazima mazima, akapanic, akafikiri amedharauliwa na mwisho wa siku akapuyanga na kukosa credit kabisa...
 
By the way swali lilitaka ajibu amepata wapi mandate ya kufanya hicho alichofanya. Obvious, msingi wa majibu ya swali hilo yalipaswa kutoka kwenye sheria, kanuni na taratibu za Bunge la IPU....
Hujaona yale makofi ya kumshangilia? Rudia kusikiliza vizuri kaeleza
 
Hujaona yale makofi ya kumshangilia? Rudia kusikiliza vizuri kaeleza
Wewe unafikiri yalitoka wapi kama si kwa walewale wajinga wenzake, waafrika wenzake wanaodhani kila kitu ni kuamua kwa ukanda tu?

Hata makofi tu eti yakatoka ukanda wa SADC...!!
 
Wewe unafikiri yalitoka wapi kama si kwa walewale wajinga wenzake, waafrika wenzake wanaodhani kila kitu ni kuamua kwa ukanda tu?

Hata makofi tu eti yakatoka ukanda wa SADC...!!
Penda chako wewe utabaki mtumwa wa wazungu kichwani kwako hadi lini?
 
Kiingereza cha "I did what I did" !! Speaks a lot aina ta wanafunzi aliokua nao
Alichomaanisha umeelewa au hujaelewa? Kwenye communication mojawapo ya sifa ni clarity
Hujaelewa alimaanisha nini? Wewe kama msikilizaji ili tukupime uwezo wa kuelewa vitu haraka kama uko juu au chini ya Sea level
 
She speaks very claer english…but she should learn to have self control ,i see nothing with the question adressed to her…!

She is short tempared her self …there was no reasons for that and it was trap question and white man wanted to see how calm she is but she missed that point!!
 
Alichomaanisha umeelewa au hujaelewa? Kwenye communication mojawapo ya sifa ni clarity
Hujaelewa alimaanisha nini? Wewe kama msikilizaji ili tukupime uwezo wa kuelewa vitu haraka kama uko juu au chini ya Sea level
Clarity? Kutumia dakika 4 kuelezea jambo dogo ndio clarity? Unless nawe pia huelewi maana ya clarity but "you just did what she did"!!
 
Kwanini Watizedi hamuwezi kuwasilisha ujumbe bila ya kufoka. Mimi kwangu sidhan kama huyu mwanamke anayo intelligence japo wengi wamempamba.

She was shouting instead of talking or communicating, hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wa TZ. JK was not good speaker kwa foreign language but anayo good communication skills ; kufokea watu wazima even if you are right ni sign ya kukosa intelligence na tabia za mwituni

mimi nadhan hili ni janga la taifa, na hawa viongozi wanatakiwa wapelekwe training ya public speaking na fundamental ethics za kuongea in public speaking, she has badly represented our country with such barbarian character

Samia anayo good communication skills kama akiacha matusi ya kizaramo na mipasho ya kimakunduchi, Samia anaweza kuongelea jambo lililomkera but akaliweka kikawqida na impact ikaonekana , that is how leader should behave mana hakuna mtu kiziwi au mjinga

nyie Watz shida ni nini, hamuwezi kuwasilisha jambo bila jazba? Shame

Kwa kumsikiliza huyu mama, seems ana ego sana, na hapati mapenzi ya kitandani na ya nje,, she has stone and goat face

msije mkajichanganya kumpa nchi hata akiitaka, huyu seems ana character za Ngosha snaa, she looks much know , mbishi, jeuri, bad listener just as ngosha, na she looks too much and hashauriki. Sasa mtu kama huyu mkimpa nchi awawaweka vidole vya ass wote , just as Ngosha did

Muwe makini na huyu mama, she is not good person , hata ishu ya UTEKAJI mlisikiliza comment zake ,

Show me how your mother speaks and I will tell you her inner characters

Hafai hata kidogo and poor leadership skills
 
Back
Top Bottom