..maswali ya kawaida kabisa, na kama kiongozi lazima uyategemee.
..sasa Tulia amepandwa hasira kwasababu ya mazoea mabaya ya kutokuulizwa maswali, au kubinya maswali, iliyotoka nayo ktk bunge la Tanzania.
..katika bunge la Tanzania Spika TULIA ni MUNGU-MTU, lakini ktk bunge la dunia ni SPIKA.
Kama utaratibu wa IPU ni maswali kuelekezwa kwa Spika, basi akae mkao wa ku - panic mara kwa mara. Kilichomtokea sasa ni cha mtoto, ajiandae kukabiliana na kulipia makosa yake ya Dodoma na Bunge lake la ki - CCM...
By the way swali lilitaka ajibu amepata wapi mandate ya kufanya hicho alichofanya. Obvious, msingi wa majibu ya swali hilo yalipaswa kutoka kwenye sheria, kanuni na taratibu za Bunge la IPU....
Surprisingly, yeye aka panic, akakosa utulivu, akahisi amedharauliwa kwa sababu tu swali limeulizwa na mzungu. Na kwa sababu hii, mama yetu huyu akaanza kuomba heshima badala ya kuonesha weledi, hekima na ufahamu wake hata astahili hiyo nafasi yake. Hii pekee ndiyo ingeweza kumpa hiyo heshima anayoitaka...
CCM na Tulia Ackson hawajui kuwa Respect is not asked, rather it is earned through professionalism and hard work...
Bahati mbaya chawa wengi wa CCM hawajui hii kitu. Wanadhani polisi au TISS watamsaidia Tulia wao kumpa hiyo heshima kwenye bakuri au kisahani huko IPU...!
Ni kwa sababu hii, hata jibu la swali aliloulizwa likawa so vague na kukosa professionalism ndani yake...
"
kwani fulani aliyefanya hivi kama niivyofanya mimi alipataga wapi mandate?"
Definitely, swali hili toka Ukraine lilikuwa la mtego kupima intelligence yake....
Bahati mbaya hakuona huo mtego. Akaingia mazima mazima, akapanic, akafikiri amedharauliwa na mwisho wa siku akapuyanga na kukosa credit kabisa...